Nini hasa sababu ya Iran kutaka kufunga strait of hormuz?

A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
2,755
Points
2,000
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2013
2,755 2,000
Mkuu ulisema unakuja na sehem ya pili... Tukaacha kufanya arguments... Na kuuliza maswali na kuelimishana

Kama tuelimishane..
c ndio hata mimi nilishangaa, alisema atakuja na sehemu ya pili au Ayatolla Ali Khomeni kamchanganya nini mpaa akili zinaenda upande wa ile drone, ujue ndugu 200million$ c mchezo zinauma hizo.

Huoni Trump kavurugukiwa mpaa eti anamuweka kwenye black list.

Ayatollah Ali Khomeni hata uweke rangi za list yote hababaiki, atasubiri sana Trump kuona Ayatollah ana kwenda kumbusu Malenia na Ivanka 😁
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Mkuu kuhusu eneo la Jerusalem kihistoria hata ktk mafundisho ya dini yetu ni eneo la Palestine.
Na Msikiti wa Alaqsa ulijengwa toka enzi za mfalme Suleiman mkuu ambae alikuwa mfalme wa Palestine.
Asa sijui hapo nan ana haki na ile eneo
Kabla ya Israel kuvamiwa na waarabu na kuwa Ardhi yao unafahamu kwamba lile eneo lote lilikuwa ni la Israel na Palestine ilikuwa ni sehemu ndogo sana?
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,435
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,435 2,000
Mkuu ulisema unakuja na sehem ya pili... Tukaacha kufanya arguments... Na kuuliza maswali na kuelimishana

Kama tuelimishane..
Tayari nilishaiunga huko kwenye bandiko langu la kwanza soma tu kwa chini niliunganisha.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,943
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,943 2,000
Jerusalem ni mali ya Palestines ubishe ukubali
Kabla ya Israel kuvamiwa na waarabu na kuwa Ardhi yao unafahamu kwamba lile eneo lote lilikuwa ni la Israel na Palestine ilikuwa ni sehemu ndogo sana?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Unauliza vitu ambavyo nilishakuelezea thread ilopita kule ?!
Karudie ile article ya kule uislam na ugaidi nilishakujibu.
Jibu swali, historia ya taifa la israel unaijua?
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,943
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,943 2,000
Jibu swali, historia ya taifa la israel unaijua?
Kuna wakati mwingine huwa sikujibugi kwasababu upo kitoto ilhali mtu mzima.
Umeniuliza ili swali nimekujibu zaid ya mara tatu sasa.
Jibu unalo kichwani.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Kuna wakati mwingine huwa sikujibugi kwasababu upo kitoto ilhali mtu mzima.
Umeniuliza ili swali nimekujibu zaid ya mara tatu sasa.
Jibu unalo kichwani.
Punga wewe, hivi una akili wewe?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Nishakuzoea.
Likulli yaum anta kal majnuun wa makhtuum.
Kaanta swakhiir bi umruka.
Yani nilijuaga jamaa a wiseman kumbe makhtuum mmoja
Unaandika ufala ambao siuelewi hivi una akili wewe?
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,943
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,943 2,000
We mkubwa mzima usiyejielewa mwenye stress za kazini kale unywe konyagi utulie.
Siwez bishana na mtu asiyejielewa kama amekua au hajakua.
Unaandika ufala ambao siuelewi hivi una akili wewe?
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,943
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,943 2,000
Ona sasa yani mtu mzima lakini una akili za kijinga.
Baba ake ameingiaje?
Sometimes be a wise man.
YOU ARE JUST A MAN BY PHYSICAL DEVELOPMENT BUT A BOY BY HAVING LOW BRAIN CAPACITY.
kama alivyo baba ako marehemu sio?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Ona sasa yani mtu mzima lakini una akili za kijinga.
Baba ake ameingiaje?
Sometimes be a wise man.
YOU ARE JUST A MAN BY PHYSICAL DEVELOPMENT BY A BOY BY HAVING LOW BRAIN CAPACITY.
Ushoga nao ulimuuliza uliingiaje kwenye hii mada?
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,943
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,943 2,000
Ulitakiwa umjibu kwa mujibu wa yeye alivyokujibu sio kumtusi mzazi wake.
Kuna majibu mengi umeyaacha ya kumdhihaki yeye ila sio kumtusi mzee wake bob.
Ushoga nao ulimuuliza uliingiaje kwenye hii mada?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Ulitakiwa umjibu kwa mujibu wa yeye alivyokujibu sio kumtusi mzazi wake.
Kuna majibu mengi umeyaacha ya kumdhihaki yeye ila sio kumtusi mzee wake bob.
Ujinga hujibiwa kwa ujinga
 

Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top