Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Najua kuna watu watataka kujua what is symbiosies, harmony and peace ila sitajibu. they too are things we can only define through their materialisation.
Mkuu hata tukitafakari utu kuwa kupitia matukio still bado tunaweza tusifikie the same conclusion. Kwa mfano, wako wataosema vitendo ya Osama Bin Laden vilikuwa sio vya kiutu. Lakini namini wapo watakaosema kuwa matendo yake yalikuwa na kiutu. Yalimtokea pia Mandela wakati wa ubaguzi wa rangi to the extent hata wakamwita ni gaidi. What might me a terrorist to one might be a freedom fighter to another. Hata tukichukua mfano wa juzi wa Gaddafi, bado tutatofautiana kama utu wake uliheshimiwa. Labda niseme kama ilivyo kwenye human rights, wapo wataokaosema vigezo vya utu ni universal wakati wengine watasema ni cultural relative?
Mimi nakubali kuwa miongoni mwa hao waliokwisha kuupoteza utu wao wa asili; hivyo najipa haki ya kuuliza "utu ni nini?" @Azimio jipya
Na ikiwa utu wa taifa umeanza kupotea na wengi wanakufa wakiwa karibu na unyama kuliko utu, utamhukumu vipi mwenzio kwa kukosa utu?
Azimio jipya hebu nieleze kwa malezo mafupi
Utu ni nini? Unatokana na nini? na Unapimwaje?
Absolutely....ukimsoma mkuu EMT hapo juu anazungumzia kuwa kukua kwa "Utu"
Ukiniuliza mimi nitasema sio "kukua kwa Utu" ila "Kukua kwa Ufahamu wetu juu ya Utu wetu"....
Kwa nini nasema hivi? Hapa nitarudi kwa Mkuu Paulss anaposema "utu" wetu ni natural thing....Ulikuwepo na upo na utazidi kuwepo maadam mwanadamu anaendelea ku-exist, sema tu tatizo ni kuwa kuna mahali "TUNAPIGA UTASHI WETU KUFULI" na kuutupa utu wetu "hata mavumbini"
Mkuu RR hebu tendeeni haki hiki "KIGODA CHA UTU" kwa kukiweka kuwa Sticky thread ili iwasaidie hata wanaofanya review ya katiba wahakikishe angalau wanaweka tafsiri ya "utu" kwa lugha yetu kutusaidia hasa kwa kuzingatia mkuu Gaijin anapata tabu sana kukosekana kwenye tafsiri za sheria zetu na zaidi kwenye katiba
NI ombi
Pasco said:.......Utu wa mtu, hauna uhusiano na kitu, mtu muone kama mtu sio mpaka awe na kitu!.
Ndugu EMT,
Angalia na hii;
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/12954-falsafa-yetu.html
Mkuu Kahanga
Mada zilikuwa nzuri sana!
LAKINI: HIvi kulingana na Falsafa ya UTU ...kwa nini Ufisadi unachukuliwa kuwa SIO UTU!!
Kutafsiriwa na nani? Nani mwenye haki ya kutafsiri kwa niaba ya wengine?
Kesi ya Mbunge wa Arumeru VS wanajimbo inaonyesha dhahiri kuwa tafsiri zinatofautiana baina ya watu na watu. Wapo wanaotafsiri tendo moja kuwa ni la kiutu na tendo jengine ni la kukosa utu.
Nani tafsiri yake ndio inakubalika?
Katika mada ambayo inaendelea hapa kwa muda sasa, utaona hoja na michango mbalimbali imesha fanyika tayari. zaidi ya kwamba utaendeela kudadavua na kuweka in put yako ... utaona tuna utata mkubwa wa kukubalina wote (Universally) maana ya UTU! Mimi kwa sasa hilo niliache kwani nina hakika una mchango wako. Kwa sasa hebu tuangalie ....Hivi kwa nini tunafikiri uadilifu ni UTU?Katika mafundisho yetu ya falsafa ya UTU tunataja kwamba misingi ya utu ni[U.M.U.H.I.M.U.W.A.K.E.]
U mojawapo katika kifupisho hicho inamaanisha Uadilifu. Fisadi si mwadilifu.
Mfano rahisi,Katika mada ambayo inaendelea hapa kwa muda sasa, utaona hoja na michango mbalimbali imesha fanyika tayari. zaidi ya kwamba utaendeela kudadavua na kuweka in put yako ... utaona tuna utata mkubwa wa kukubalina wote (Universally) maana ya UTU! Mimi kwa sasa hilo niliache kwani nina hakika una mchango wako. Kwa sasa hebu tuangalie ....Hivi kwa nini tunafikiri uadilifu ni UTU?
Asha dii unajaribu kusema nini dada yangu, bado sijakusoma uzuri
Mkuu unajua ni kweli ni ngumu kupata tafsiri ya moja kwa moja ya maana ya hili neno (yaani universal definition and SI unit ya hili neno na likawa applicable kote). Nadhani ndiyo maana General Assembly ya UN kwenye ile UNIVERSAL DECLARATION OF HUMAN RIGHTS wamejaribu kuweka set of common standards values ambazo kimsingi kila mtu ana haki nazo ili kuondoa ule mkanganyiko wa tafsiri ya "yule ambae kwako ni gaidi, kwangu ni shujaa" ikiwamo na kuwepo kwa Mahakama ya Kimataifa (Japo hapa napo maswali ni mengi zaidi ya majibu
The question still is how common and standards are these "common standards of achivements" ???
Wewe tafsiri yako ya 'utu' ni nini?
Nimesoma posts zoote, na I like the answers ya most hasa tokana na constructive questions za Gaijin, hata mimi ningependa you your Definition of Utu Gaijini....
Aisee alter...hebu rekebisha kidogo hiyo sentensi ipate kusomeka vizuri..
Thank you.... (ilibidi tu nicheke! naona matatizo ya kukosa usingizi)
Wewe tafsiri yako ya 'utu' ni nini?
@Gaijini hata mimi ningependa your Definition of Utu ....