Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,917
Binafsi siendekezi wivu kwa kitu chenye utashi na hiari ya kugawa keki ya taifa kwa amtakaye.
Matukio ya kusikitisha, kuogopesha na kukatisha tamaa yamekuwa yakiongezeka kila uchao.
Matukio ya kuua ni kujiua sasa yameanza kuzoeleka kwa vijana (Mabilionea wa Moshi/ Arusha) wakiongoza kwa kuwa na wivu na shabaha duni..
Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuwafungia ndani wenzi wao na watoto kisha kulipua nyumba na vyote vilivyomo.
Nini kifanyike?
Hii ni fursa nyingine ya kuwekeza. Kuna haja ya kuanzisha vituo vya ushauri nasaha juu ya kuudhibiti wivu na namna ya kutambua ubaya na athari za kulipiza kisasi.
Pia kuna haja ya kuwafundisha watu namna ya kudhibiti hasira