GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Habari wakuu, Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wataalamu wa mazoezi ya viungo kutupatia
ufafanuzi zaidi juu ya mazoezi ya aina mbalimbali, mazoezi yenye faida na faida zake na mazoezi yenye
hasara (kama zipo) ni mazoezi gani na hasara zake ni zipi.
Mfano. Nilikuwa nafanya zoezi la kukimbia km 5 kila siku, faida ninayoiona ni wepesi, uchangamfu wa mwili na
kuepukana na ugonjwa wa mafua.
Nimekuwa nafanya zoezi la kuruka kichurachura lakini sijawahi kufahamu faida yake, nimepiga pushapu
zaidi ya kutuna mikono na kuwatisha watu bado sijafahamu faida yake.
Nimewahi kufanya zoezi bila shaka linaitwa 'skwati' nalo hata sijaelewa.
Nimesikia kuna mazoezi yanasaidia kuongeza nguvu za kiume, kuondoa kitambi n.k lakini bado sifafahamu
ni mazoezi ya aina gani.
WATAALAMU WA MAZOEZI NA WANA JF WENGINE AMBAO MNA UELEWA WA MAZOEZI NAWAOMBENI TUPEANE
UZOEFU KWA KILE TUNACHOKIFAHAMU.