Nini faida ya kuwa Mpagani?

Nini faida ya kuwa Mpagani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,169
Reaction score
48,451
Wapagani wengi wa JF kila linapotokea jambo baya linalomhusisha Kiongozi wa dini ama ya Kikristo au Kiislamu huwa wanaonesha kwamba wao wako salama kwa kuwa tu ni wapagani.

Faida ya kuwa mpagani tofauti na kuwa Mkristo ama Muislamu ni nini? Uzuri wa kuwa Mpagani uko kwenye nini?
 
No stress ya dhambi! Labda sheria za nchi.. pili huna hofu juu ya uchawi au nguvu zozote za kiroho! Kuna baadhi ya watu hujitesa kwa kuamini tu hizo nguvu za kiroho ama ktk negative au positive!.
Kila chakula kwako ni halali hakuna hofu ya kufuru au kujichafua kiroho!

Kila fikra unaweza kufikiri bila ya Kuwa na limitation ya kumkufuru kiumbe fulani!.

Hakuna sheria ya dini inakukaba kuhusu maisha yako ya ndoa,wewe au nyinyi ndo waamuzi wakuu ya nini muamue bila ya hofu za kiimani!.. Kuna watu wanaishi ndoa zao kwa mateso na wanashindwa kuachana kisa sheria za dini!

Unaimarika kiakili vizuri ktk kutatua matatizo yako kwani hakuna wa kumtegemea pale unaposhindwa kila kitu I mean huna kauli za kusema "Namuachia Mungu" kila tatizo lako utakomaa nalo..🤣

Angalizo Kama mtu anataka Kuwa mpagani basi yafaa awe na akili imara na timamu sana Tena sana kwa maana Kuwa mpagani hakukupi ruhusa ya moja kwa moja Kuwa huru ktk kila kitu so ni muhimu mtu kuzingatia sheria za kimazingira(fikiri zaidi hapo) ili Kuwa salama na kuwa ktk ubora wako wewe Kama kiumbe hai kinachoweza kufuata sheria mama za dunia pasipo msukumo ama kutishwa au kushurutishwa na kiumbe mwengine.
 
Tatizo linaanzia kwa kinachooneka kwa hawa makada kindaki ndaki wa dini.

Wanakua Kama wamelishwa limbwata vile.

Hawasikii Wala hawaoni,
ata Yale ya kipuuzi wao Ni mwendo wa "NDIO MZEE"

Mawazo yao yanakua tayar yashafungwa kabisa, Hawawezi Tena kufikiri changamoto yoyote nje ya box.

Kila kibaya kinachowatokea Lawama zote kwa "SHETANI"

Kazi hawafanyi, wakifanya kipato chote kinaishia kanisani kwenye michago.

Umaskini kwao wameuona Ni tiketi ya kuingia mbinguni.

Mioyo yao imejaa husda na chuki dhidi ya waliokua nacho, hasa wenye mlengo tofauti wa kiimani.

Ukiwa na Ela TU,
Kazi yao kukuchunguza picha zako vidole vimekaaje ili wakuite FREEMASON.

KIUKWELI,
KILA NIKIZIFIKIRIA HIZI DINI NAONA NI UPUMBAVU MTUPU.

NI vema tuziishi TU zile amri 10 TU,
Hizi dini hazitupeleki popote zaidi ya kutujaza ujinga TU vichwani na kututia umaskini zaidi na zaidi.
 
No stress ya dhambi! Labda sheria za nchi.. pili huna hofu juu ya uchawi au nguvu zozote za kiroho! Kuna baadhi ya watu hujitesa kwa kuamini tu hizo nguvu za kiroho ama ktk negative au positive!.
Kila chakula kwako ni halali hakuna hofu ya kufuru au kujichafua kiroho!

Kila fikra unaweza kufikiri bila ya Kuwa na limitation ya kumkufuru kiumbe fulani!.

Hakuna sheria ya dini inakukaba kuhusu maisha yako ya ndoa,wewe au nyinyi ndo waamuzi wakuu ya nini muamue bila ya hofu za kiimani!.. Kuna watu wanaishi ndoa zao kwa mateso na wanashindwa kuachana kisa sheria za dini!

Unaimarika kiakili vizuri ktk kutatua matatizo yako kwani hakuna wa kumtegemea pale unaposhindwa kila kitu I mean huna kauli za kusema "Namuachia Mungu" kila tatizo lako utakomaa nalo..

Mkuu umeongea point

Wapagani woyeeeeee
 
Kwahyo ruksa kula tigo bwana mpagani KENZY
 
Hivi kipi ni Raisi kati ya; kuamini kuna Watu huko juu wanatuangalia maisha yetu na wanajua kila kitu na wana makazi yao huko juu na wanarekodi matendo yetu yote ili mwisho wa siku waje kutuhukumu au kutoamini?
 
Ndio maana nikandika hapo kuwa Kuwa mpagani kunahitaji uwe na akili sana Tena sana na haimaanishi upo huru asilimia mia!... Nikishasema sheria mama za dunia basi jua namaanisha hutakiwi kwenda nazo kinyume.. mkuu huwezi lia kikwapa.. upagani ni kutumia natural mind.
Ujue kuna non believers/wapagan na pia kuna non religious/wasio na dini

Ni watu wawil tofaut..mfano mim.ni non religious ingawa kuna misingi nmeipata kutoka kwenye dini nikachanganya na zangu nikapata combination ambayo ikanifanya niamue kutochangamana na mising ya dini yoyte...so wew uko upande gan ndugu
 
Mkuu mada imeita wapagani Sasa unafikiri ningelikuja hapa Kama wameitwa wachanganyikaji..!!
 
Tatizo linaanzia kwa kinachooneka kwa hawa makada kindaki ndaki wa dini.

Wanakua Kama wamelishwa limbwata vile.

Hawasikii Wala hawaoni,
ata Yale ya kipuuzi wao Ni mwendo wa "NDIO MZEE"

Mawazo yao yanakua tayar yashafungwa kabisa, Hawawezi Tena kufikiri changamoto yoyote nje ya box.

Kila kibaya kinachowatokea Lawama zote kwa "SHETANI"

Kazi hawafanyi, wakifanya kipato chote kinaishia kanisani kwenye michago.

Umaskini kwao wameuona Ni tiketi ya kuingia mbinguni.

Mioyo yao imejaa husda na chuki dhidi ya waliokua nacho, hasa wenye mlengo tofauti wa kiimani.

Ukiwa na Ela TU,
Kazi yao kukuchunguza picha zako vidole vimekaaje ili wakuite FREEMASON.

KIUKWELI,
KILA NIKIZIFIKIRIA HIZI DINI NAONA NI UPUMBAVU MTUPU.

NI vema tuziishi TU zile amri 10 TU,
Hizi dini hazitupeleki popote zaidi ya kutujaza ujinga TU vichwani na kututia umaskini zaidi na zaidi.
You nailed it. Kama umewaona jirani zangu vile
 
Mkuu mada imeita wapagani Sasa unafikiri ningelikuja hapa Kama wameitwa wachanganyikaji..!!
kuna tofauti kati ya mpagani,non religious na Atheist...mkristo anamuona muislam ni mpagani.
Muhammad aliwaona wale waarabu wanaoabudu mawe na kuzunguka kaaba ni wapagani.
Inshort mpagani ni mtu anayeabudu kitu nje ya Mungu wa kweli...Kwa wengine wahindu ni wapagani na mamiungu yao...
Mpagani anaweza kuwa na dini ya kipagani.
Lakini Atheist Haamini uwepo wa mungu na Hana dini

Lakini pia kuna non religous theists ambao hawana dini ila wanaamini uwepo wa Mungu
 
Naona umetoka kifungoni.
 
Back
Top Bottom