Nini faida ya kuoa kwa sisi wanaume?

Nini faida ya kuoa kwa sisi wanaume?

Naam! Ujue ukikaa ndani bila kelele na mapigano unaona siku haiendi kabisa.

Tena Vuvuzela la Kizaramo ni zuri sana.
Hiyo ni mindset na mentality yako mkuu...
Watu wana hobbies kibao wakati wewe ukipenda kelele wenzio wanapenda mazingira yaliotulia au kukaa peke yao kabisa.
So ni mtu kuji tune anapendelea nini, feeling sio universal as kila mtu ana zake.
 
Almost vitu vyote ndani ya nyumba unaweza fanya mwenyewe kama kupika, kufanya isafi nyumbani kwako, kuhudumia mifugo, shambani, ndugu jamii na marafiki zako so unapooa unaongeza faida gani kwenye nyumba yako?
Kama ishu ni mwanamke basi unaweza nunua huko utimize haja zako!
Kama ni watoto unaweza tafuta mwanamke uongee nae akuzalie watoto awaangalie mpaka kipindi wanaweza kutembe na kuongea ndipo uwachukue.
Utatafuta mwanamke special akuangalizie wanao mpaka waanze kujitegemea au uwapleke watoto kwa ndugu zako wakianza kujitegemea unawachukua.

Hii procedure imekua ikitumia nchi za ulaya sasa mimi nataka kuiintroduce rasmi bongo.

So nitakua nimejitosheleza kimaisha hata nikiwa mzee najua wanangu watanihudumia.
Pia kwa wasiotaka watoto wanaweza kuchukua watoto kwenye vituo vya watoto yatima wawasomeshe kama watapendezwa watakuja kutos shukrani uzeeni wako.

So mimi sioni faida ya kuoa.
Waswahili wanasema Kama nyama inapatikana buchani yanini kufuga ng'ombe? Au kama maziwa yanapatikana dukani yanini kumfuga ng'ombe?

So ukiwa single uta stay healthy zile kero za ndoa hutaziona na faida za ndoa utazipata on the market as I know unanunua monde basi unatimiza haja zako kwani ishu si mwanamke bwana? Sasa yanini kummliki wakati waweza mmnunua kwa siki au masaa kadhaa?

I think it's better for us men to focus on productive things.
Pengine muweke hasara za kutokuoa ambazo mimi personally sizioni kwenye maisha ya mwanaume hadi uzeeni.
Haya ni mawazo ya mtu asiye na nguvu za kiume.
 
I concur with you 100%

Most of married men, wanakufa mapema au wanapata magonjwa ya ajab ajab kama pressure, sukari, cancer, mgongo kuuma, mara disc zimecheza, mguu unauma...n.k

Ili kuepuka yote haya, usioe.. Angali mapadre hawafi mapema kwa sababu hawana wake...
 
Aisee, nakumbuka wakati ujana umenikolea niliwahi kutumia hii nadharia.
Babu yangu aliponisikia aliniambia, Mjukuu wangu "UKITAKA KUJUA UMUHIMU WA MAKALIO KALIA KICHWA" na kisha akamalizia "ASIYE NA NYWELE HAUJUI WEMBE".
Ungemuuliza babu yako kilichokua kinamsumbua huenda alikosa nyapu kisa umri umekwenda hiyo ishu ikamuumiza sana ila angekua babu wa miaka hii ni mwendo wa kufungua page insta na kuweka dau mzigo unakujia ndani au akienda kunyw apombe kinywaji au chakula hotelini anaweza muaproach mdada kilaini tu.
Mpe pole babu yako.
 
Somo ni la fikra sana. Kuoa sio tu material things, bali psychological, social, economic na Religious need.

Muda mwingine tunaoa kuimarisha akili kujihisi perfect, kujiona unajaliwa na kujiona mtu katika watu.

Ila muda mwingine ukitumia akili sana kuoa ni upuuzi na ni ujinga ujinga tu.
Nime kupa like binamu
 
I concur with you 100%

Most of married men, wanakufa mapema au wanapata magonjwa ya ajab ajab kama pressure, sukari, cancer, mgongo kuuma, mara disc zimecheza, mguu unauma...n.k

Ili kuepuka yote haya, usioe.. Angali mapadre hawafi mapema kwa sababu hawana wake...
Disk ndio nini
 
Si ndio yeye mke wake aliliwa na kanda bongo man ?
Sijui labda unipe kisa chake nisome ila ninajua moi ana watoto kama sita au kumi hivi ambao nadhani alizaa na wanawake mbalimbali but sijahakikisha hao wanawake kama ni watoto wapo wanajulikana tuu Kenya.
 
Ungemuuliza babu yako kilichokua kinamsumbua huenda alikosa nyapu kisa umri umekwenda hiyo ishu ikamuumiza sana ila angekua babu wa miaka hii ni mwendo wa kufungua page insta na kuweka dau mzigo unakujia ndani au akienda kunyw apombe kinywaji au chakula hotelini anaweza muaproach mdada kilaini tu.
Mpe pole babu yako.
Aisee, sina hakika kwa fikra na msimamo uliojiwekea kwa sasa kama ungeweza kumwelewa babu yangu. (Hata mimi kipindi hicho sikuweza kung'amua chochote)
Yule Mzee alikua ana tafakuri tukuka sana. Pumzika kwa Amani Babu mwerevu.
 
Mtoa mada ujui furaha ya kuwa na familia, uwe na mke na watoto ukitoka Kazini wanakupokea, wanakwambia wameshindaje, watoto wanakusimulia hadithi za shuleni na kukwambia wamesoma nini? Familia ni phsycological issue. Nadhani hujawai kuwa na mke na watoto arafu wakasafiri hata kwa wiki moja!!! Kama ni Mzazi bora utatamani uwafuate haki ya Mungu nakwambia.
 
Swala la kufa ni majaliwa mkuu hayo ni matendo yako uliyofanya hapa duniani. Wapo wanaokufa hospitalini, wanaokufa wamezungukwa na ndugu au marafiki zao na watoto wao wengine wanafia safariini, ajalini, mashambani, kazini n.k
Sidhani kama kazi ya mke ni kukusaidia unapokufa bali inategemea kifo chako kimetokea mazingira gani.
Kwani unataka uniambie utakua mwenyewe huko ndani huna ndugu, watoto wa nje au majirani wanaokuja kukusalimia daily?
It doesn't make sense mzee.
Huyo huyo mwanamke unaemtegemea akusaidie ndo huyo huyo anaweza akakuua, kifo kipo tu mzee
 
Almost vitu vyote ndani ya nyumba unaweza fanya mwenyewe kama kupika, kufanya isafi nyumbani kwako, kuhudumia mifugo, shambani, ndugu jamii na marafiki zako so unapooa unaongeza faida gani kwenye nyumba yako?
Kama ishu ni mwanamke basi unaweza nunua huko utimize haja zako!
Kama ni watoto unaweza tafuta mwanamke uongee nae akuzalie watoto awaangalie mpaka kipindi wanaweza kutembe na kuongea ndipo uwachukue.
Utatafuta mwanamke special akuangalizie wanao mpaka waanze kujitegemea au uwapleke watoto kwa ndugu zako wakianza kujitegemea unawachukua.

Hii procedure imekua ikitumia nchi za ulaya sasa mimi nataka kuiintroduce rasmi bongo.

So nitakua nimejitosheleza kimaisha hata nikiwa mzee najua wanangu watanihudumia.
Pia kwa wasiotaka watoto wanaweza kuchukua watoto kwenye vituo vya watoto yatima wawasomeshe kama watapendezwa watakuja kutos shukrani uzeeni wako.

So mimi sioni faida ya kuoa.
Waswahili wanasema Kama nyama inapatikana buchani yanini kufuga ng'ombe? Au kama maziwa yanapatikana dukani yanini kumfuga ng'ombe?

So ukiwa single uta stay healthy zile kero za ndoa hutaziona na faida za ndoa utazipata on the market as I know unanunua monde basi unatimiza haja zako kwani ishu si mwanamke bwana? Sasa yanini kummliki wakati waweza mmnunua kwa siki au masaa kadhaa?

I think it's better for us men to focus on productive things.
Pengine muweke hasara za kutokuoa ambazo mimi personally sizioni kwenye maisha ya mwanaume hadi uzeeni.
Mshukuru mungu wazazi wako wamekulea na sasa unaonekana umewazidi akili Kwa kuwa wao huenda walihakikisha Kwa pamoja wanakulea ww Leo unataka uzalishe halafu wanao wabakie kuwa ni machokolaa!Pole sana Kwa fikra uliyonayo
 
Back
Top Bottom