Nini faida ya kuajiriwa na Serikalini

Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
1,584
2,000
Mwajiriwa yeyote anatakiwa aitwe mtumwa ila wamepunguza ukali wa maneno wakaitwa watumishi wa umma. PAYE, NSSF, BIMA YA AFYA, riba za mikopo, hujaweka harusi za wafanyakazi, gharama za mavazi ili usirudie nguo na viatu, nauli za kwenda ofisini, gharama za chakula cha asubuhi na mchana, n.k vyote vimemwangalia mwajiriwa.
 

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,590
2,000
Wanajamvi natumai mnaendele vyema
Na wale wanaofanya kazi katika sekta binafsi na serikalini heshima kwenu pia ktk sikuu hii adimu kabisaa

Naomba nijikite kwa wale watumishi wa umma pekee yenuu.
Mnisaidiee faida za kufanya kazi serikalinii
Natumai mtanipa ushirikiano kwenye mada tajwa hapo juuu.

Ahsanteni naomba kuwasilisha


Hakuna manufaa yeyote kufanya kazi serikalini na ndiyo maana watu wengi wanaojitambua wanafanya kazi kwa kujiajiri ama kwenye NGOs
 

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
474
500
Miaka elfu hakutakuwa na faida ninheri ufanye Kaz private ulipwe laki tatu na ukajua kesho nayo n siku kuliko kuishi bila matumaini hayo ndo maoni yangu..
 

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
318
500
Hakuna faida yyt mkuu zaidi ya kupeana stress tu,unaandaliwa kuwa masikini wa baadae wewe jaribu kuangalia wazee waliostaafu miaka ya 2000 wana nini cha maana na wengine walishindwa kujenga hata makazi tu ya kawaida ya kuishi.Nauchukia utumishi wa umma na nipo katika harakati za kufanya maamuzi magumu ila najua yatanitoa kwenye kifungo cha maisha.
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
2,666
2,000
Unafanya kazi bila stress wala Kuogeshwa na mtu, .. pia uhakika wa maisha ukweli ndio huo, private bila kumshobokea boss... unaondolewa any time
Serikalini pia ; lazima ushoboke tu!!! vinginevo hutakaa usome tena, hutapanda daraja, nafasi nzuri hupati, kazi za hovyo utapewa, mara umepitishwa kwenye fungu la wafanyakazi hewa ukiuliza sorry tulipitiwa, tupe muda turekebishe! rekebishaaaa, rekebisha na wewe!!

usinunue kigari cha mkopo wamenuna tayari. visa, visa na wewe! labda uwe mtoto wa Mahita! au mtoto wa tajiri huna shida watakuheshimu! au uwe mjasilia mali na kipato cha ziada wataweka heshima!! wakikujaribu kukutilia ngumu wewe unapiga ndefuu tena bila mshahara wao. unaanza Ulaya, au South, USA, Canada hapo watakuogopa.

Siku ukirudi unawaambia sasa? inakuwaje nimerudi ! ... wakati unaongea ofisini kwao, ume pack ndinga kali lisilo la mkopo! nyuma ya gari la mkurugenzi, ili akiondoka akutafute, same moment uwe unapiga part time private.. faster tu wanakurekebishia.

Wakizengua unaondoka mazima!
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
2,666
2,000
Some times ma-Admistrator wanakunywa chai ya maziwa ya NIDO basi wanajionaga wameyapatiaaa!.... anakuona km taka flani hivi!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom