lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Ugly truth, ukweli wenye sura mbayaNi kumwelewesha kuwa huo ndiyo uwezo wako lakini awe huru kumtafuta mwenye kuweza kitimiza mahitaji yake.
Unamaanisha aachane nae?Ni kumwelewesha kuwa huo ndiyo uwezo wako lakini awe huru kumtafuta mwenye kuweza kitimiza mahitaji yake.
Inapotokea kwamfano mwanamke wako aliomba umsaidie kiasi flani cha pesa lakini unafanikiwa kumtumia kiasi ambacho kimepelea kidogo tofauti na kile alichoomba lakini unamuahidi kwamba kiasi kilichopelea utammalizia baada ya siku tatu ila anakasirika akidai kwamba humjali
Mfano aliomba umsaidie laki mbili lakini unafanikiwa kumpatia laki moja na nusu halafu unamuambia kwamba elfu hamsini utampa baada ya siku tatu lakini anaanza kununa na kuona kwamba humtahimini na kumjali
Ipi ni njia nzuri ya kumshikisha adabu mwanamke kama huyu ?
Kwanza unavyomsaidia na wewe ukiwa na shida anakusaidia pia? Kama jibu ni NO fahamu huyo ni kwa matumizi ya binadamu tu na hafai kuwa mke maana mbeleni ataishia kukusumbua tuInapotokea kwamfano mwanamke wako aliomba umsaidie kiasi flani cha pesa lakini unafanikiwa kumtumia kiasi ambacho kimepelea kidogo tofauti na kile alichoomba lakini unamuahidi kwamba kiasi kilichopelea utammalizia baada ya siku tatu ila anakasirika akidai kwamba humjali
Mfano aliomba umsaidie laki mbili lakini unafanikiwa kumpatia laki moja na nusu halafu unamuambia kwamba elfu hamsini utampa baada ya siku tatu lakini anaanza kununa na kuona kwamba humtahimini na kumjali
Ipi ni njia nzuri ya kumshikisha adabu mwanamke kama huyu ?
Mwambie dawa yake ni yeye (mwanaume) kufilisika. Hakuna dawa ya kutopenda pesa kama zipo.Ni kumwelewesha kuwa huo ndiyo uwezo wako lakini awe huru kumtafuta mwenye kuweza kitimiza mahitaji yake.