Nini dawa ya kigugumizi?

fahad Athuman

Member
Feb 3, 2017
45
36
Pole na majukum
Ningependa kujulishwa nini dawa ya kigugumizi Au hhata njia ya kupunguza kisitokee sana,maana kimenisumbua kwa muda mrefu saana...
Ntashkuru kwa majib yenu
 
kwa watoto dawa zinapatikana...

ila kwa watu wazima shukuru Mungu iko ndio kilema Chako.
 
Aisee,nimemrithisha mwanangu wa kiume kigugumizi,kimemfanya achelewe sana kuongea,ana miaka 5 lkn kutengeneza full sentence kwa baadhi ya maneno ni shida,uzuri ni mtt mtundu,yaani anajiamini mbele za watu so nadhani hatokua na shida mbeleni.

Dawa pekee ya kigugumizi nayoamini ni kujiamini,mm kimenisumbua sana hasa wkt nakua nilikua shy sana,kuna kipindi kwenda dukani nilikua naogopa,nafikiria nikikuta watu natamkaje neno fulani,bs nilikua naenda nasubiri wateja wote wameondoka,so ishu sio kigugumizi,ishu ni fear.

Kuna watu wana vigugumizi lkn ni waongeaji wazuri sana,over the years nimejifunza mengi,kuna wkt nilikua kuongea lzm nipige kitu lkn ss hv naongea vizuri kwa pause,nikikwama neno la kiswahilo naingiza la kiingereza,so ukikaa na hii condition muda mrefu unaijua na unaishi bila taabu.
 
Mwenyewe nlikuwa nacho wakati nikiwa mdogo,nilijitahidi kujicondition kubadilisha uongeaji,kama kupunguza speed ya utamkaji na kuongea nkiwa relaxed,mpaka sasa kimeisha kwa asilimia 95%.kipo kwa mbaali cha kispoti
 
Daaaaah kigugumizi kimenitesa na kinanitesa sanaaa haswa nikiwa nafanya presentation mbele ya watu, i fee like daaaaah sijui nisemeje. By the way faida yake kimenipa wasichana kadhaa kwa madai kuwa wanapenda kigugumizi changu
 
1.Epuka kuwa na wazo la kuwa utashikwa na kigugumizi utakapoenda kuongea.Ukiwa na wazo hilo ubongo utafanya mapigo ya moyo kuongezeka na uwoga utaanza(hii njia ni ngumu japo na mm najaribu kuifata)
2.Kujiamini
 
Kwa mtoto. Mdogo dawa ni mizizi ya mbaazi
Ila wakati wa kuikata hiyo mizizi ya mbaazi kuna swaga kidogo kama za kiuchawi hivi
Lazima uvae kaniki au nguo nyeusi
Alafu wakati wa kufukua hiyo mizizi unatamka maneno fulani hivi
Na ni lazima ukafanye hii kazi alfajiri au wakati kunapambazuka, ukishamaliza kuchuma au kukata huo mzizi ni lazima ufukie ilo eneo na kisha uache sadaka ama fedha Silva Silva au umwage mtama au mchele pale kwenye shina la mbaazi
Ukishafika nyumbani kuna namna ya kufanya ili mtoto apone kabisa kigugumizi kwa uwezo wa Allah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasa Huo ni Uchawi...na sio kwa Uwezo wa Mungu(Allah (s.w))

Kama unayo ikiwa tayari kutumika tujulishe tuone jinsi ya kuipata
 
Ongea taratiibu, ucwe na haraka ya kuongea then feel relaxing wakat wa kuongea ucjitutumue ukikacrika acha kuongea breath in deeply for seconds.... Then endelea ucpende kupanik..
nadhani hii ndio tiba mkuu.
Mimi pia kilinisumbua sana zamani ila saizi naongea bila shida maana nishazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom