Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

Jamani naombeni mnisaidie suala la elimu bure hapa Tanzania Mimi nilidhani ni bure kweli lkn huku rukwa manispaa ya sumbawanga katika Shule ya msingi chem chem Mwl Mkuu anawagiza wanafunzi kununua kadi za maendeleo je fedha za elimu za elimu bure hazihusu manunuzi hayo na mm mwenyewe watoto wangu wameagizwa. nisaidieni mwenzenu kama hata huko kwenu yapo haya.
Sijaelewa unamaanisha nini? Au ungefungua uzi wa hilo suala...
 
Kuna chuo fulani (jina nalihifadhi) wanawake wengi walio na mimba ni third year. Nilijaribu kufanya kaquestionaire kidogo nikagundua kuwa eti "wanapata kwa makusudi ili yule aliempa ndio awe tegemeo lake pindi warudipo mtaani...maana vijana wa mitaani wanaogopa kuoa wahitimu wa chuo kikuu kwasababu ya skandali wanazozisikia... pia sababu ugumu wa maisha pindi warudipo mitaani maana akiwa na mtoto wa mtu fulani basi huyo mtu 80% ndiye atamuoa"
 
Wakishaanza kujua fake shows za kina kim kardashian na wema sepetu, wanataka kuwa km wao na pesa hawana
 
bhana eeeh msitutishe chuo tutaenda na clubs vile vile tutanenda alafu tuone kama tutasup.........

Mta sup vipi wkt mna vitega uchumi ktk sketi zenu mnavyogawa bure kwa maprofesa?
 
Naamini humu kuna wenzetu wametutangulia katika viwango vya elimu ...hivyo basi Naomba mtusaidie ni vitu gani huwafanya au kuwachochea vijana wengi wanapo ingia chuoni kubadilika na kujiingiza katika matendo machafu mfano ulevi, wizi na vingine vingi....

Na pia naomba mtusaidie ili mtu aweze kuepukana na vitendo hivi anatakiwa azingatie yapi???

Ushauri Tafadhari......

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] manufaaa ya first year woteee#

View attachment 416884
First year eeh..!! hata we ukijichanganya tutakutafuna tu, sisi sio watu wa mchezomchezo
 
First year eeh..!! hata we ukijichanganya tutakutafuna tu, sisi sio watu wa mchezomchezo
Ki......la......za....wa chuo cha vi....la....za...huo ndio ushauri pu...MBA..vu...ungesoma bila kucoment ungepungukiwa damu,????...

[HASHTAG]#spendagi[/HASHTAG] ujinga atheeeeeee #
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Kuna dada moja tupo nae group moja

Semister ya kwanza alikuwa anapigilia vitenge tu, ila semister ya pili akaanza kipiga vile vya juu ya goti, goti lenyewe jeusi, alafu sikuhizi anaongea kidaslam
 
Ki......la......za....wa chuo cha vi....la....za...huo ndio ushauri pu...MBA..vu...ungesoma bila kucoment ungepungukiwa damu,????...

[HASHTAG]#spendagi[/HASHTAG] ujinga atheeeeeee #
Ntapungukiwa damu nisipokutafuna, karibu chuo tukufunue sketi
 
Ukute hapo chuoni unafunuliwa marinda tuu na vidume then unajishetua humu jf

Sent from my i3 using JamiiForums mobile app
Unajifanya una busara huku kujiulizisha viswali wakati nimekuona jukwaa la wakubwa kule unafanya ujinga, we subiri tu ukapigwe miti huko, tena watu kama nyie ndo wale wa vyuo kama tuition center
 
Unajifanya una busara huku kujiulizisha viswali wakati nimekuona jukwaa la wakubwa kule unafanya ujinga, we subiri tu ukapigwe miti huko, tena watu kama nyie ndo wale wa vyuo kama tuition center
Kafie mbele sh...o...g..a wewe kama unatafuta Mme sema fasta

Sent from my i3 using JamiiForums mobile app
 
dah vijana mambo mengi sana sie,ila kikubwa ni nia,malengo,dhamira ya dhati kutoka moyoni kwa kilichokupeleka huko.pia muda ukiwa busy na mambo yako au ukiweka ratiba vitu ambavyo vipo nje y ratba hutovifata so pengne itasaidia.weng hatukufanya ivo so now tupo uko ila kila mwaka mi kama tunaanza upya kwa sababu tunashindwa kufata vile tulivyojipangia au tunajiongeza hata ambavyo havistahili wala havipo ndani y ratib etu.nimekomaa
 
Back
Top Bottom