miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Naamini humu kuna wenzetu wametutangulia katika viwango vya elimu ...hivyo basi Naomba mtusaidie ni vitu gani huwafanya au kuwachochea vijana wengi wanapo ingia chuoni kubadilika na kujiingiza katika matendo machafu mfano ulevi, wizi na vingine vingi....
Na pia naomba mtusaidie ili mtu aweze kuepukana na vitendo hivi anatakiwa azingatie yapi???
Ushauri Tafadhari......
[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] manufaaa ya first year woteee#
Na pia naomba mtusaidie ili mtu aweze kuepukana na vitendo hivi anatakiwa azingatie yapi???
Ushauri Tafadhari......
[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] manufaaa ya first year woteee#