Mawazo hayana CHANZO mkuu"Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
Mkuu sidhani kama inawezekana KUACHA KUFIKIRI(Mawazo) as long as upo HAI na haujazimia wala kupata changamoto ya afya ya ubongoHii inawezekana ila kwa kuutrain ubongo uzoee kuacha kuzingatia kelele zinazoendelea nje ili ubaki kwenye hali ya utulivu... Ukiwa unafanya meditation kuna level ya hivi baadhi ya watu wanaifikia, ingawa si wengi coz waliowengi hushindwa kufika hapa bali wao huambaa kwenye eneo moja na kupotelea hapo.
So as long as macho yanaona na maskio yanaskia kila keep nachoendelea basi ubongo huwa active kuchakata hivyo vyote, ila maskio yasiposkia na macho yasipoona ubongo huwa kwenye utulivu ambao utafanya usikumbuke jana wala kuunga dots zozote zitakazokupa taswira ya future.
Yeah upo sahihi, ni ngumu kuufanya uache kuwaza ila angalau unaweza kucontrol aina ya mawazo unayopaswa kuwaza kwa wakati fulani... Ubongo kweli upo active muda wote as long as uko hai so mleta mada ako na hoja.Mkuu sidhani kama inawezekana KUACHA KUFIKIRI(Mawazo) as long as upo HAI na haujazimia wala kupata changamoto ya afya ya ubongo
Huwezi ku train ubongo uache kufanya kazi yake
Ubongo hautegemei kusikia na kuona tu……. Upo ACTIVE muda wote
Sometimes life style"Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
Repetition alone can control our thoughtsUkiwa kwenye state ya meditation, unataona mawazo jinsi yanavyoflow na jinsi ambavyo hauna uwezo wa kuyacontrol zaidi ya kuya observe tu
hili swali huwezi kulijibu kama huelewi saikolojia, kwanza mwanadamu hana uwezo wa kuwaza, mwanadamu anapokea mawazo kwa mfumo wa masafa(frequency) hayo masafa yanatakiwa yafanyiwe kitu kinachoitwa "encoding" yaani kuyabadilisha yawe na maana kwa sababu bila kufanya hivo ni ngumu sana kuona umbo la wazo (imagination), na kiungo kinachofanya kazi hiyo ni ubongo, ubongo hutafsiri na kisha kutengeneza "projection" na hatimae unaweza kuona unachowaza....., hili ni swala tata sana kwa asiyeelewa saikolojia. na ndio maana mawazo yanategemea sana kitu kinachoitwa "mindset" yaani setting your mind within a specific frequency and recieving information within that particular frequency."Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
kwa sababu mwanadamu ni mtazamaji(observer) na sio anaeonaUkiwa kwenye state ya meditation, unataona mawazo jinsi yanavyoflow na jinsi ambavyo hauna uwezo wa kuyacontrol zaidi ya kuya observe tu
So hapo mtu alipo kwa sasa mawazo yanapita tu hivyo unachofanya ni ku tune in mawazo ya aina gani yaende kwenye ubongo,hili swali huwezi kulijibu kama huelewi saikolojia, kwanza mwanadamu hana uwezo wa kuwaza, mwanadamu anapokea mawazo kwa mfumo wa masafa(frequency) hayo masafa yanatakiwa yafanyiwe kitu kinachoitwa "encoding" yaani kuyabadilisha yawe na maana kwa sababu bila kufanya hivo ni ngumu sana kuona umbo la wazo (imagination), na kiungo kinachofanya kazi hiyo ni ubongo, ubongo hutafsiri na kisha kutengeneza "projection" na hatimae unaweza kuona unachowaza....., hili ni swala tata sana kwa asiyeelewa saikolojia. na ndio maana mawazo yanategemea sana kitu kinachoitwa "mindset" yaani setting your mind within a specific frequency and recieving information within that particular frequency.
mawazo ni kama mawingu, na anga ni kama akili, sasa mtu hawezi ku "tune" au kuchagua mawazo ila mawazo yanapita kwenye uwanja wa akili yake, kinachofanya tuning ni akili ambayo ni kama radio recieverSo hapo mtu alipo kwa sasa mawazo yanapita tu hivyo unachofanya ni ku tune in mawazo ya aina gani yaende kwenye ubongo,
Mi huwa nahisi hivyo kwa ufahamu, kwamba upo hewani na kinachofanya kitu kuwa concius ni movement ya particles zinatengeneza electromagnetic field kisha ina attract ufahamu na vitu pekee vyenye uwezo huo kwenye mwili wa mwanadamu ni moyo na ubongo,
Safimawazo ni kama mawingu, na anga ni kama akili, sasa mtu hawezi ku "tune" au kuchagua mawazo ila mawazo yanapita kwenye uwanja wa akili yake, kinachofanya tuning ni akili ambayo ni kama radio reciever
Chanzo cha mawazo ni mawazo"Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.