Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,751
- 13,830
Kuna jogoo kataga yai hapa ni dogo tofauti na ya majike.
Soma hapa ufafanuzi wa jogoo kutaga, kutoka JamiiCheck
Soma hapa ufafanuzi wa jogoo kutaga, kutoka JamiiCheck
Huyo ni mwanachama wa kataa ndoa.Kuna jogoo kataga yai hapa ni dogo tofauti na ya majike.
jogoo anawika kabisa mkuu.Kuna kitu inaitwa Gonadal dysgenesis, ovary ya kuku mtetea inaweza kuharibika toka akiwa mdogo sana na kupelekea kukua na muonekano wake kubadilika na kuwa kama wa jogoo , hivyo kuna kipindi anaweza kutaka kayai kadogo , na wewe ukaona ni jogoo kataga .
Note , jogoo hawezi kutaga kwa sababu hana ovary za kuzalisha mayai.
Mimi nijuavyo jogoo yeyote akikua akakomaa sana ni kawaida kutaga yai. Linakuwa dogo kama la njiwa. Na anaweza akataga hadi awamu mbili kama ataendelea ku exist.Kuna kitu inaitwa Gonadal dysgenesis, ovary ya kuku mtetea inaweza kuharibika toka akiwa mdogo sana na kupelekea kukua na muonekano wake kubadilika na kuwa kama wa jogoo , hivyo kuna kipindi anaweza kutaga kayai kadogo , na wewe ukaona ni jogoo kataga .
Note , jogoo hawezi kutaga kwa sababu hana ovary za kuzalisha mayai.
Kama unavyo ona kwa binadamu , jinsi ambavyo mwanamke anaweza onekana kama dume kabisa , kumbe ni jike hiyo pia hutokea kwa wanyama , ni mambo ya kibiologia tujogoo anawika kabisa mkuu.
Ni mfumo gani wa kibiologia unao sababisha jogoo kutaga?Mimi nijuavyo jogoo yeyote akikua akakomaa sana ni kawaida kutaga yai. Linakuwa dogo kama la njiwa. Na anaweza akataga hadi awamu mbili kama ataendelea ku exist.
Na hata kuku jike akikaa bila jogoo(bila kupandwa) itafika hatua atataga mayai japo haya huwa hayana uwezo wa kuangua vifaranga.
Kwahiyo ktk hilo, naamini kuku kama kuku ni kawaida sana kutaga yai pasipo sababu ya kimaumbile.
Alitekwa na kubakwaKuna jogoo kataga yai hapa ni dogo tofauti na ya majike.
Mkuu hapa unataka kuzua arguments zisizo na maana.Ni mfumo gani wa kibiologia unao sababisha jogoo kutaga?
Hilo yai linatoka wapi?Mkuu hapa unataka kuzua arguments zisizo na maana.
Mimi nabaki na msimamo wangu kwamba jogoo ktk kukua kwake hutaga yai moja dogo.
Hizo facts zako za kisayansi baki nazo mwenyewe.
Na kama utalazimisha kwamba huyo jogoo anaetaga ni jike, pia nitakupinga make huyo jogoo anapanda majike na yanataga mayai yenye kutoto vifaranga.