A Anonymous Buddy Member Jul 5, 2015 8 9 Apr 16, 2021 #1 Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari. Shida hasa itakuwa nini?
Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari. Shida hasa itakuwa nini?
Bondpost JF-Expert Member Oct 16, 2011 6,603 9,380 Apr 17, 2021 #2 Anonymous Buddy said: Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari. Shida hasa itakuwa nini? Click to expand... That's why tunasema ijengwe bandari kubwa kule bagamoyo lakini watu wamebaki na mawazo ya kijinga.
Anonymous Buddy said: Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari. Shida hasa itakuwa nini? Click to expand... That's why tunasema ijengwe bandari kubwa kule bagamoyo lakini watu wamebaki na mawazo ya kijinga.