Nini chanzo Cha ajali kwenye hii picha

Hao walirushwa na mtikisiko mkubwa wa ajali ndio wakaangukiana kama wanavyoonekana [emoji4]
 
Hizo ndizo akili za kuambiwa!!! Akili zenu hamzitumii mmeziweka mfukoni!!! Hapo hamuoni hata KiTWANGA kuwa naye huwa anakunywa hiyo Faru John yeye sasa mpaka Bungeni utafikiri alitumwa na wananchi wake akanywe pombe,Lakini kwa kwa ushabiki umewakolea huwezi tia neno kwake!!!
 
Mkuu kumbe unaijua faru john, kitwanga hakuwa mlevi mlimsingizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…