Nini chanzo Cha ajali kwenye hii picha

Hapo chanzo Cha ajali naona na roho wa bwana ananishuhudia kwamba " mshahara wa dhambi ni mauti"

Sheria inasema Usizini
Lakini binadamu ni wanajifanya much know,
Mtunga Sheria kafanya yake
......... ...........

Chazo Cha ajali inawezekana ni zinaa kwa sababu upande wa rubani tunaona skeleton zikiwa zimegandana na kutengeneza muonekano wa watu wanajifanya zinaa LAKINI PIA INAWEZEKA CHANZO KISIWE NI ZINAA
 
Chanzo cha ajali hii yawezekana kulikua na mdudu hasa mende katika chumba cha rubani, hivyo mwanamke alivyomuona mende akamrukia rubani mwezie ili kujiokoa siala lililopelekea wote kuachia viongoza ndege na kusababisha ajali hii.
 
Haya mawazo hunijia nikiwa mechi za ugenini na timu ya watoto,nawaza hivi mfano ikipiga radi hapa tukaungua tumeshikana itakuwaje,vipi tukifa kwa mshtuko wote tuko hivi??na je inakuwaje siku ya ufufuo ndio leo sasa hivi

Basi naamua kukiri tu,Mungu unaona ujinga mwingi ninaokufanyia naomba unisamehe tu.

Hao walikuwa wanasini 69.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom