Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Jana shemeji yenu kanishanganza kidogo, wakati tunatoka club almost saa nane na nusu hivi tukiwa tumefika sehemu ya parking hme akanitaka tufanyie sex ndan ya gari.....
Nimewahi kusikia watu wanafanya hvyo lakini nilijiuliza maswali mengi kwanini siku zote hajawahi kusema tufanye hvyo na wakati anajua kabisa sipendi gari yangu itiwe najisi...
Ndo kusema kuna mtu kamuonjesha kwenye gari sasa kajisahau??
Plzzz naombeni uzoefu wa mtu yeyote aliyewahi kufanyia ndan ya gari ni nini cha ziada kinapatikana ambacho siwez kukipata nikifanyia mahali pengine?
Ushaonja hizi ladha tofauti tofauti?....wee mkareee!garrrrryy yako ni aina gani? Ladha hutofautiana kulingana na aina ya garrrry.
garrrrryy yako ni aina gani? Ladha hutofautiana kulingana na aina ya garrrry.
Inaelekea wewe ni aina ya wanaume ambao ukionyeshwa style mpya unauliza nani kakufundisha....
Ushaonja hizi ladha tofauti tofauti?....wee mkareee!
Inaelekea wewe ni aina ya wanaume ambao ukionyeshwa style mpya unauliza nani kakufundisha....
Inaelekea wewe ni aina ya wanaume ambao ukionyeshwa style mpya unauliza nani kakufundisha....