Nini cha msingi kufanya mara tu baada ya ku do.


Duh,hahaha,kazi kwelikweli,jf is never boring..:lol:
 

Nimeipenda hii!thanx....unfortinately aliyekuwa ananifanyia haya he s nt mine nw na haitawezekana,.....ss cjui huyu atakua anajua dah!maana kuna vitu vingine c o vya kufundishwa,it comes from within
 
Nimeipenda hii!thanx....unfortinately aliyekuwa ananifanyia haya he s nt mine nw na haitawezekana,.....ss cjui huyu atakua anajua dah!maana kuna vitu vingine c o vya kufundishwa,it comes from within

Upo mama? long time. Sorry kuchat kwenye thread ya m2!
 
mmh kaaazi kwelkweli
 

dah nimecheka sana,kusimamia baiskeli mpk kwenye magazijuto.
 
Kupongezana na kupeana pole
Shughuli ni pevu ile ati
 
ha haaaa, sisi tunaoishi nyumba za kupanga, bafu mtaa wa sita....
na siku hiyo tuna hamu ya angalau round 6, si watatuona wanga kila mara tunaenda bafuni manane hayo?
 
Reactions: BAK

hahaha!naona hii iko juu
 
unampongeza mtu unamwambia baby wewe mtamu ...teh anakujibu najua kila mtu ananiambia hivo...utakomaje..wewe potea zako eneo la tukio hata nguo kavalie kwenu

Ha ha ha! jf inaweza kukufanya uonekane kichaa mbele za watu, nimecheka hadi basi.
 
Kama ni mwanamke atauliza, C H U P I yangu ipo wapi?kwa mwanaume utabaki kutafakari kama umepata ulichokua unakitarajia au laa,na wakati mwingine kujilaumu kuwa ZAFANANA

Hahaaaaaaa! Hakya nani!
 
Nimeipenda hiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…