Nini cha kufanya unapofumaniwa chumbani na mke/ mume wa mtu?

Kwanza uwe tayari kupigwa shafti endapo mwenye mali atakuwa firauni.

Pili uwe tayari kunasa kama mwenye mke kaweka tego,

Tatu uwe tayari kurogwa kama mwenye mke atakuwa anapenda sana ushirikina

Nne uwe tayari kufa kama mwenye mke ni shefa na anapenda kumaliza kesi mapema.
 
Cha kufanya kama unajua mwishoni UTAMSAMEHEE MKEO vovote itakavokuwa we NYAMAZA KIMYAAAAAAAAAA!!!!!!!!! YAANI SHUT THE F! UP!!!!!!! Chukua ZINGA la KONYAGI shushiaaaa!!!!!!!!!! Ukilogwa ukamuhadhia mtu au ukaomba ushauri ni AIBU YAKO MWENYEWE!!!!!!!!!! Jiji zima litazizima na habari juu ya mkeo kuliwa.

Siku ukishamsamehe WATU WOTE WANAJUA FLANI ALIPITA PALE NA WEWE UNAENDELEZA LIBENEKE!!!!!!!! Ila ikiwa SIRI yenu, utaumia moyoni ndio ILA HADHI YAKO YA KIUME ITABAKIA KATIKA JAMIII!!!!.

NI KAZI CHAFU ILA LAZIMA MTU AIFANYE!!!!!!!!!!
 

Hahahahaah LARA1 napendaga sana comment zako ku****nina we ni noma.
 
Last edited by a moderator:
Jamani naombeni mawazo yenu, maana anytime kinaweza kikanuka.
Moyo haupigi kwenye range zake za kawaida

Cha kufanya huwa kinakuja on the spot..., so huna haja ya kuwaza kwa sasa subiria tu tukio lenyewe utajua!
 
buji, hebu sema uko gesti gani nije kula deo mwana wa mwenzio?
maana kwa tambo na majisifu humu jf hujambo, mara ohhh ntamkunja, mara ntamnyonya...
hebu nipe anwani ya gesti ulipo nije kushuhudia kwa jicho langu
 

hahahahaha. lara 1 umemaliza kazi. Salute.
 
Last edited by a moderator:
Jamani naombeni mawazo yenu, maana anytime kinaweza kikanuka.
Moyo haupigi kwenye range zake za kawaida

Bujibuji Bwana! Yaani unajiandaa kufumaniwa!.... usiombe mkuu, mkimbize huyo pepo fasta, maana kufumaniwa ni hatari hivyo usitembee na mke/mume wa mtu. Tafuta wako ule maisha tartiiiiiiiiiiibu!
 
nina bastola, sijui niiweke kwenye suruali au nilale nayo kitandani?

umesahau kwamba ili ufurahie zinaa lazima akili iwepo kwenye eneo la tukio, na ili ujiham na adui lazima akili iwe kwa adui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…