Risk vs Return
Senior Member
- Apr 23, 2012
- 106
- 71
Lengo ni kuipata sio kuifungaPole sana,wapigie kwanza makampuni ya simu wafunge akaunti mfano tigo pesa.Nenda na IMEI wataifunga simu.Yamenikuta juzi tu...inauma sana.
serious?Chukua IMEI wapigie TCRA waifunge kwa sasa tuna CEIR ipo controlled nao.
Hii anti thief inafanyaje kazi?Jitahidi ukipata nyingine weka anti thief ili ikusaidie kupatana sim mara inapopotea au kuibiwa. Pole sana.
Seriously mkuu,TCRA ndio wakifunga IMEI hauwezi ku access mtandao wowote kwa wakati huo lakini ukipiga kwenye mtandao husika kuifunga itachukua mda hadi zaidi ya masaa 24 ndio TCRA wapate Hiyo block automatic.serious?