HahahaAchana na vilaza hao !ndio maana wengine tume wa mute haiwezekani ulete uzi na ilustration kibao ushindwe kuona hiyo sehemu ya chanzo?hao akili zao zilikuwa tayar hell bent kuwa discredit wqlio jenga hayo maghorofa so hawawezi kuona kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia mkuu naona kama halikuanza na ground flour. Kuna mabomba ya chuma waliyoanza nayo kama support, sasa yameshindwa kuhimili uzito kutokana na mshituko wa udongo baada ya pembeni mwake kuchimbwa kifusi.Risk minimization interms of death walijitahidi.Sababu nadhani ni basement ilikua weak in relation to the top ndio maana limeanguka zimazima,haya ndo majengo unakuta udongo hauruhusu kujenga gorofa refu ila unalazimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu.ripot nzrNa pia mkuu naona kama halikuanza na ground flour. Kuna mabomba ya chuma waliyoanza nayo kama support, sasa yameshindwa kuhimili uzito kutokana na mshituko wa udongo baada ya pembeni mwake kuchimbwa kifusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu,
Katika pita pita zangu nimekutana na hii habari
Shanghai Building Collapses, in China
constructed building in Shanghai toppled over, killing one worker. As can be seen in the photo below, the 13-story apartment building collapsed with just enough room to escape what would have been a far more destructive domino effect involving other structures in the 11-building complex.
Kama sijakosea hii habari inaelezea kuwa
jengo hili lililojengwa huko Shanghai lilianguka na kuua mfanyakazi mmoja. Kama inavyoonekana katika picha hapa chini,
Sasa kilichoniumiza kama kuna contractors wazuri hii hali imetokeaje???means hawakuenda na vipimo????au hawakupima eneo kabla ya ujenzi????
Hebu mnaofahamu haya masuala ya Ukandarasi njooni tusaidiane hapa,sijaelewa elewa.
Yaani kama uwezekano ungekuwepo wa kubebwa majengo kama haya,kama ilivyo kwenye mabanda ya sungura.Hakika ningelibeba nikaliweke home liwe hata la maonyesho tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1070460
View attachment 1070461View attachment 1070462View attachment 1070464View attachment 1070465View attachment 1070466View attachment 1070468View attachment 1070469View attachment 1070470View attachment 1070471
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndyo shida kukariri,kukariri,kukaririJitu linajiita injinia linachojua ni ku-kremu bhaaaasiii
HakikaLakini limeanguka kistaarabu sana. Na hayo ya pembeni wayashushe taratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha,Na kwa jinsi tunavyopenda kiki za kuwaumbua wengine[emoji23][emoji23]ingekuwa tanzania hapa kuanzia mangekimavi,makamanda mtandao,wapenda umbeya wote habari yakuwa tz ni mabogasi dunia nzima ingejua
Anawaza kupata tenda ya kujenga soko la mahindi halmashauri apige tuHii ndyo shida kukariri,kukariri,kukariri
Mambo ya msingi kama hayo ni kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Anawaza kupata tenda ya kujenga soko la mahindi halmashauri apige tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mainjinia wetu toka CoET, UDSM anaenda Site na suti huku anachat kwenye groups kama 10 za whatsapp akil kama hii wataitoa saa ngap
Waliokosea SI mafundiwawma injinia ni walio udongo kwa ajili ya kuweka gerejiAah wap una tetea tuu,kwa nini wasitafute solution mapema??????basi usomi haujawasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Basement au msingi (foundation)? Maana ukiliangalia hamna msingi. Ni kama walianza tu kulipandisha. Ila huko juu ni imara!Risk minimization interms of death walijitahidi.Sababu nadhani ni basement ilikua weak in relation to the top ndio maana limeanguka zimazima,haya ndo majengo unakuta udongo hauruhusu kujenga gorofa refu ila unalazimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo kwani wanaweza wakapangisha watu kama lilivyo hasa hosteli.Habarini wakuu,
Katika pita pita zangu nimekutana na hii habari
Shanghai Building Collapses, in China
constructed building in Shanghai toppled over, killing one worker. As can be seen in the photo below, the 13-story apartment building collapsed with just enough room to escape what would have been a far more destructive domino effect involving other structures in the 11-building complex.
Kama sijakosea hii habari inaelezea kuwa
jengo hili lililojengwa huko Shanghai lilianguka na kuua mfanyakazi mmoja. Kama inavyoonekana katika picha hapa chini,
Sasa kilichoniumiza kama kuna contractors wazuri hii hali imetokeaje???means hawakuenda na vipimo????au hawakupima eneo kabla ya ujenzi????
Hebu mnaofahamu haya masuala ya Ukandarasi njooni tusaidiane hapa,sijaelewa elewa.
Yaani kama uwezekano ungekuwepo wa kubebwa majengo kama haya,kama ilivyo kwenye mabanda ya sungura.Hakika ningelibeba nikaliweke home liwe hata la maonyesho tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1070460
View attachment 1070461View attachment 1070462View attachment 1070464View attachment 1070465View attachment 1070466View attachment 1070468View attachment 1070469View attachment 1070470View attachment 1070471
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ndio una matatizo,
Sasa kama walianza ujenzi,au ujenzi ulikuwa kwenye process na hao kama ni wasomi kwa nini wasizuie ilo tatizo mapema????mpaka inacost vitu vya kizembe namna hiyo
Mpaka mimi kuweka link hapa tayar nishaona kila unachotaka kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo hapo ni kwa sababu ni nyumba ambazo hazijapangishwa bado wala kukabidhiwaRisk minimization interms of death walijitahidi.Sababu nadhani ni basement ilikua weak in relation to the top ndio maana limeanguka zimazima,haya ndo majengo unakuta udongo hauruhusu kujenga gorofa refu ila unalazimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app