Ningependa niedit Rais wangu awe pembeni ila ........

Jimmy George

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
1,733
Reaction score
1,650
Hii picha ningependa niedit Mhe. Rais awe pembeni yangu kama nilivyokuwa naedit nipo na Kikwete ila siwezi kwa sababu;
1. Rais anatutisha wananchi wake kwa maneno makali,ya vitisho na ya kukatisha tamaa hataki ukaribu na sisi wananchi
2. Rais ni mkali wasijekusema nimemkashifu mtukufu
3. Sitaki kuwa mnafki kuedit nipo na Rais ambaye kuna mambo anayafanya siyapendi

5b08a7ef336e530209d90ce910dadebe.jpg
14a7c3d38a4e0c1a038693251a4f6bc3.jpg
 
Duuu nahitaji nizimue kwanza viroba kama sita ndio nikuelewe hasa hapo kwenye majadiliano yako na Obama juu ya Obama care
 
Anatupenda sana ndiyo maana anatujengea miundombinu, anapambana miaka ijayo wanafunzi wapate mikopo, hela za misaada ya Kagera kaelekeza ziwe kwa ajili ya miundombinu ili tufaidi wote.

PS: Ukiona hunielewi ni kwakua najifunza kuangalia upande chanya wa kila kinachofanywa na serikali
 
Ngoja tuona huenda ni kweli usemayo
 
Hii picha ningependa niedit Mhe. Rais awe pembeni yangu kama nilivyokuwa naedit nipo na Kikwete ila siwezi kwa sababu;
1. Rais anatutisha wananchi wake kwa maneno makali,ya vitisho na ya kukatisha tamaa hataki ukaribu na sisi wananchi
2. Rais ni mkali wasijekusema nimemkashifu mtukufu
3. Sitaki kuwa mnafki kuedit nipo na Rais ambaye kuna mambo anayafanya siyapendi

5b08a7ef336e530209d90ce910dadebe.jpg
14a7c3d38a4e0c1a038693251a4f6bc3.jpg
Vp kiongoz !!!
Ni application gani umetumia ku edit hii hiyo photo coz nimeipenda utaweza nipa maelekezo kidogo
 
Next time nawewe uvae suti mshabihiane.... vinginevyo ungeweka picha ya shilole pembeni yako
 
Vp kiongoz !!!
Ni application gani umetumia ku edit hii hiyo photo coz nimeipenda utaweza nipa maelekezo kidogo
Natumia apps 3
1.Background eraser=kufuta sehemu usizotaka na kuiacha uitakayo
2. Blend collage =kubadili background
3. Phonto = kuandika maneno
 
Back
Top Bottom