habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Lile tunda la katikati ndo lipi
Nimejaribu kutafakari kuhusu tendo la ndoa, ukiachilia kufanya tendo la ndoa kwasabab za kupata watoto, je kufanya tendo hilo kwasabab za kujifurahisha ni sahihi? Kwa sisi wakatoliki tunasema hata kutumia kondomu na vidonge vya uzazi wa mpango ni dhambi! Kwasabab gani? Ikiwa nataka kufanya tendo Hilo bila ya kuwa na lengo la kupata mtoto kwann isiwe dhambi Kwan nitakuwa nafanya uharibifu ule ule wa kupoteza mbegu! Kwa ndugu zangu waislamu sijui upande wao inasemaje, asanteni.
Ok. . .thats how you believe,ngoja tuanze na hili. . .Ukimkuta mtu anazini na mkeo utachukua hatua gani mkuu?I totally disagree with you, we always judge things base on right or wrong not otherwise, ni aidha kushoto au kulia mkuu.
hahahahaa you made my morning
eti tutatotoa kama kuku lol
Unajua kuna sheria zingine yapasa msomaji azichunguze kwanini ziliwekwa. Wakiruhusu matumizi official ya hiyo kitu dunia itatake advantage kwamba kanisa limeruhusu na wanaposema isitumiwe tujiuize je ni kweli haitumiwi hii kitu na wanandoa na pia turudi kwenye maandiko je yenyewe yanasemaje juu ya hili maana hiyo ndio reference nzuri.Nimepata andiko linalo ruhusu sex for pleasure, 1 Corinthians 7:3-5, ila sielewi kwann wana ndoa wasitumie kondomu ikiwa hawana lengo la kupata mtoto, hii sheria nafikiri ibadilishwe.