sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,062
Nimejaribu kutafakari kuhusu tendo la ndoa, ukiachilia kufanya tendo la ndoa kwasabab za kupata watoto, je kufanya tendo hilo kwasabab za kujifurahisha ni sahihi? Kwa sisi wakatoliki tunasema hata kutumia kondomu na vidonge vya uzazi wa mpango ni dhambi! Kwasabab gani? Ikiwa nataka kufanya tendo Hilo bila ya kuwa na lengo la kupata mtoto kwann isiwe dhambi Kwan nitakuwa nafanya uharibifu ule ule wa kupoteza mbegu! Kwa ndugu zangu waislamu sijui upande wao inasemaje, asanteni.