Kila la kheir mkuu, naona inawezekana kabisa maana elimu ni elimu tuu.Asante mkuu, ndio maana nikalileta kwenu hio Website iweje,ila kwa haraka ningependa kuwe na sehemu ya contacts,whom to contact when in crisis,Itoe elimu pia kwa mental health proffessionals as kuna Gap kubwa sana..wengi wanajua mambo ya physical health na sio mental health,wapate at least basic training ya kufanya wakipata mgonjwa wa akili..Na kwa mgonjwa mwenyewe kuna system za kuangalia symtopms kabla hujawa complete ill.....LOL
Kila la kheir mkuu, naona inawezekana kabisa maana elimu ni elimu tuu.
Ukizingatia changamoto za afya ni nyingi ,pia wengine hawajijui kama ni waathirika wa magonjwa ya akili
Ethical clearance kivipi? Hapo nadhani cha muhimu unaweza kuwa na katimu kako ka maspecialist wa magonjwa hayo.ambao utapata kujua mengi kuhusu idea yakoAsante mkuu,sijui nitapata wapi mawasiliano ya Wizara ya Afya,as nahitaji ethical clearance yao..nimejaribu kutuma inquiry kwenye website yao sijajibiwa..mm🙄
Ethical clearance kivipi? Hapo nadhani cha muhimu unaweza kuwa na katimu kako ka maspecialist wa magonjwa hayo.ambao utapata kujua mengi kuhusu idea yako
Sasa dear, kama upo mjini dasilamu hapo kwanini usiende moja kwa moja ukaonana naoMkuu sijui taratibu zikoje hapo Tanzania...but I assume kama unataka kuongea na wanaoumwa (sio acute) Muhimbili lazima uwe na kibali??….ningependa kuongea na wote wanaoumwa,familia zao,pamoja na wauguzi...lol
Nitaitengeneza ila sharti wewe ndio uwe Admin waoHello JF,
Natumaini wote mko powa...
Ningependa itengenezwe website/App..
Kwa watu wenye matatizo ya akili..
Wao na wanaowatunza..kushare their experieces..na kupata access to treatment...
Mnaonaje hii idea..?