project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,560
Mkuu taratibu umefika mbali Sana mkuuSasa kama Mungu mwenyewe ndio kiongozi wa kuua watu kwa kuleta gharika kwa wakosefu na wasio wakosefu ana akili kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo comment imeonesha udhaifu wa MunguHii comment imefunga Uzi.
Uzi ufutwe
Tumia roho mtakatifu kulijua hiloHivi atheits mmeongezeka jf au ni multiple ID's za watu wale wale maana humu Jf kuwa na back up plan muhimu
Nilishawahi kuwauliza hivyo, nakumbuka jamaa mmoja anajiita big mind akasema Mungu inatamkwa "Muungu" yani kuna doble uu zinaongezwa hapo ili kutofautisha na utamkwaji wa neno "mungu"kwani Mungu na mungu ni tofauti?
unapotamka unatofautishaje?
"bitch be humble"
Ndo maana kila siku naendelea kupinga kuwa hakuna Mungu, Kama yupo basi sio yule aliyeandikwa kwenye vitabu hivi maarufu.Hiyo comment imeonesha udhaifu wa Mungu
Kivipi
Kama Mungu ndio muumbaji wa kila kitu na yeye ndio controller wa huu ulimwengu hivyo hakuna jambo linaweza kufanyika bila yeye kuliruhusu lifanyike.
Ukipinga kua kuna mambo yanafanyika bila yeye kuyaruhus yafanyike hapo utakua umesema Mungu sio mtawala wa huu ulimwengu na wala hana uwezo wa ku-control kila kitu
Kwasababu Mungu anasifa ya ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote hivyo kwasifa zake hizi hakutakiwi kuwe na kasoro yeyote katika uumbaji wake
Na mbaya zaidi hatakiwi kumuadhibu kiumbe kwa madhaifu ambayo yeye amekiumbia kiwe nayo. Kufanya hivyo ni kukionea hicho kiumbe kwasababu hicho kiumbe kimefata kanuni ambazo yeye alikusudia kiwe
Tumia roho mtakatifu kulijua hilo
Holy Holm said:Kwani wewe una akili?
Kwani akili ni nini?Wayo said:Ndio nazitumia kuulizia maswali
Kuna wakati Mungu alijilaumu kwa nini alimuumba mwanadamu na kukiri kuwa hataweza kushindana nae na kuamua kumfutilia mbali juu ya uso wa dunia. Kaleta garika.
Kumbuka mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu, na hapo ndio tatizo linapokuja. Kumbe mwanadamu ni photo copy ya Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu katuumba na utashi, we kujua jema na baya.Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi.
Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao kwa namna mbalimbali, wapo wasioheshimu utu wa mwanadamu wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.
Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika. Nina wasiwasi corona inaweza kuwa ishara ya gharika lijalo siku si nyingi tusipojirekebisha
Sasa kama Mungu mwenyewe ndio kiongozi wa kuua watu kwa kuleta gharika kwa wakosefu na wasio wakosefu ana akili kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Photocopy au mfanano unaozumgumziwa kati ya Mwanadamu na Mungu hutoka katika Roho,kumbuka Mungu si Mwili Mungu ni RohoKuna wakati Mungu alijilaumu kwa nini alimuumba mwanadamu na kukiri kuwa hataweza kushindana nae na kuamua kumfutilia mbali juu ya uso wa dunia. Kaleta garika.
Kumbuka mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu, na hapo ndio tatizo linapokuja. Kumbe mwanadamu ni photo copy ya Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi.
Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao kwa namna mbalimbali, wapo wasioheshimu utu wa mwanadamu wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.
Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika. Nina wasiwasi corona inaweza kuwa ishara ya gharika lijalo siku si nyingi tusipojirekebisha
Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi.
Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao kwa namna mbalimbali, wapo wasioheshimu utu wa mwanadamu wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.
Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika. Nina wasiwasi corona inaweza kuwa ishara ya gharika lijalo siku si nyingi tusipojirekebisha
soma mada vizuri, mada inaongelea gharika la dunia , yaliyosemwa kwenye mada yanatokea duniaa nzima, Marekani wanabaguana, waanaoana wanaume kwa wanaume, raisi wao anatukana bila kujali utu, huo ni mfano tu. Usijifikirie vibaya wewe tuMtoa mada sijakuelewa inamaana, kichwa cha habari kinaongelea mungu kushusha gharika, maudui ya ndani yanalenga tanzania tu sasa ninajiuliza gharika lipo tanzania tu? Au ni dunia nzima acha chuki bas kyoma,
Sent using Jamii Forums mobile app