cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Kwa misimamo hii kutoka kwa jiwe,huu ugonjwa utawasumbua sana wazanzibar
Na kasi ya kuathirika na Covid 19 ipo kasi sana
Lakini ningekuwa Rais wa Zanzibar ningefanya yafuatayo
Funga mipaka majini na angani,hakuna meli kutoka Bara
Lockdown wote unguja na Pemba,mabenk ondoa riba au makato na kugawa chakula,watu milion sita ni wachache sana
Pima watu wote,populationi ya Zanzibar kuipima ni mwezi mmoja wanaisha
Hapo hujafaulu kuishinda Corona
Rais wa Zanzibar shtuka,ni rahis kupambana na corona Zanzibar kwa urahis mno kuliko bara
Bara isiwafanye mfanane ,watu wenu wanaumia kiurahisi na huku ni sekunde kupambana na corona Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app