Ningekuwa mwanachama wa CHADEMA....

Karani wa Mahakama au Baraza la Ardhi,Kodi na kadhalika
Kuna mtu ana division two ya 10 points HKL ana umri wa miaka 32,anapenda sheria anafanya kaz ingine, anataka kusoma unamshauri asome dip au degree open university

muosha rungu
 
Namba 5, hawawezi kujenga ofisi wakati wanajua Chadema ni chama cha kupita tu kitakufa. Jana nilikuwa na Mwanachadema mmoja pale Mwanza anasema kwa sasa Chadema kimebaki kuwa kikundi cha kusaidiana ktk ugonjwa na misiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu ana division two ya 10 points HKL ana umri wa miaka 32,anapenda sheria anafanya kaz ingine, anataka kusoma unamshauri asome dip au degree open university

muosha rungu
Kwa ufaulu huo,aweza kusoma degree kwenye vyuo mbalimbali nchini.
 

Choo cha Wagonjwa katika Zahanati ya Namalembo huko Mtwara, katika hali ya kutia huruma, ile hali tunatumia mabilioni kurudia chaguzi zisizo za lazima na zisizo na maana.
 
kamanda umeandika nini..hapa.. total.confusion
 
Nani anaweza kumkosoa magufuli? Ccm haina wenyewe?
aaahah kwa hiyo umekubaliana na uzi huu。safi kabisaaa..ni bora wewe kuliko wale wengine ambao wangeanza kupiga mayowe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…