Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,566
Wanajamvi poleni na mihangaiko ya kila siku, mambo ni mengi kwenye nchi hii, hekaheka kibao, wengine wanafatilia kesi ya Lissu, wengine Bunge la Dodoma, wengine Bunge la Ulaya (EU), wengine Simba na Yanga, mambo ni Mengi.
Ungepata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania, ni mambo gani mazuri matano ungeyafanya ili ukumbukwe hata ukiwa kaburini?
Ungepata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania, ni mambo gani mazuri matano ungeyafanya ili ukumbukwe hata ukiwa kaburini?