Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Kweli Katapila (The Bulldozer) kama wazungu wanavyomuita Kwa Kiasi Kikubwa amefanikiwa Kupunguza Rushwa, Uzembe makazini na kingine kupunguza Matumizi yasiyo ya Lazima kama Posho za Makalio.
Hili la Kufuka wafanyakazi waliotengeneza Vyeti Stationery nalo limempa sifa ya Kipekee ndani na Nje ya Nchi Rais wetu ndugu John Magufuli Kiasi kwamba Nafikiria kama ni Kiongozi katika Vyama vya Siasa nisingeshiriki Uchaguzi wa Mwaka 2020.
Hebu chukulia mfano umepanda jukwaani Unapiga kampeni imagine Kama uko chama cha Upinzani mwaka 2020 utakua unaongelea vitu hivi hapa chini.
-Tutahakikisha Bashite anatoka Madarakani Mara baada ya Kuapishwa kwangu.
-Tutahakikisha Rambirambi zinawafikia wafiwa katika Utawala wetu.
-Tutahakikisha Kila Mtu anapata wasaa wa Kuongea Misibani hats kama anatokea chama cha Upinzani
Kwa sababu yote yameshafanywa na Rais John Magufuli yanini nigombee tena siwezi Kuzungumzia mambo ya Reli katika Kampeni Reli inajengwa kwa kiwango Bora.
Flyovers ndo kabisa zinajengwa, Miundombinu ya Maji imeshafika kwa mwenye Kitila Mkumbo, Elimu Bure, Afya viwanda Vya Dawa Vinakuja Kibaha.
Anga Ndo Balaa Dreamliners Zitakua Zinapishana Kwenye Anga za Ulaya, Asia, Amerika na Australia.
Kama nagombea Kupitia Upinzani Nitaongelea nini 2020?
-