Ningekuja msanii hip-hop ungenipa asili Mia ngapi kwa hii mistari?

Felix King Zaman

Senior Member
Aug 6, 2016
125
117
Ukitaka hip-hop kamili nenda mwanza
Kutoka young killer , Fid Q ndiye wa kwanza
Wanasema mamilionea feki wanatokea Arusha
Rest in peace kwa watakaozusha.
Mjini ngono inalipa kuliko uprofesa
Elimu ni mziki kama Jey profesa
 
Ukitaka hip-hop kamili nenda mwanza
Kutoka young killer , Fid Q ndiye wa kwanza
Wanasema mamilionea feki wanatokea Arusha
Rest in peace kwa watakaozusha.
Mjini ngono inalipa kuliko uprofesa
Elimu ni mziki kama Jey profesa

Kaka yaani beti tatu tu uko nje ya mada, sasa sijui ulikuwa unaongelea nini?, hakuna mtiririko kabisa wa tukio, beti tatu bitu vitatu tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom