Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 655
Kuna haka kajitabia ka wakina dada ambapo mara baada ya kugundua kwamba una mke anaanza kukulaumu na kuuliza hili swali "Kwanini hukuniambia ukweli toka awali ?" kitu ambacho ni kigumu sana kwa asilimia kubwa ya sisi wanaume kumwambia ukweli msichana kwamba uko kwenye mahusiano na mtu mwingine huku na yeye ukiwa unamuhitaji.
Wadada mtuvumilie tu mana sio kwamba tunashindwa kuwaambia ukweli ila tatizo mkiambiwa ukweli kabla ya kupigwa tukio huwa mnaleta malingo sana na mbwembwe lukuki.
Najua nikikuambia ukweli huwezi nikubalia ombi langu na hii dhana iko kwa wadada wengi sana,ukimwambia ukweli mapema ni kama umepuliza kipenga cha kumfanya yeye aanze mbio za Marathon mapemaaaaaa.
Mtuvumilie tu wakina dada mana hata siku moja usitegemee utaambiwa ukweli kabla hujavuliwa naniliu....ni wanaume wachache sana ambao wataweza kukuambia ukweli kwamba yupo kwenye another relationship kabla hajakugegeda.
I`m Out