Ndondombi Mulin JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 741 Reaction score 3,255 Jul 27, 2026 #21 Yukwapi said: Inshort ningeona mbeleni huendaa ningeoaa mapema kuliko haya madhara nliyoyapata Click to expand... KUOA sio suluhuhisho, wapo washikaji wameoa na bado wananyetuka. Tatizo lako ni Psychology zaidi, na wala dawa za kienyeji hazitakusaidia lolote. Kwanza kabisa acha Nyeto, pili acha kutazama video za ngono, tatu tafuta demu mmoja awe anakupa show time to time ili uweze ku-gain confidence. kubali matokeo ya choice zako na uamue kubadilika. Be a Man, mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Yukwapi said: Inshort ningeona mbeleni huendaa ningeoaa mapema kuliko haya madhara nliyoyapata Click to expand... KUOA sio suluhuhisho, wapo washikaji wameoa na bado wananyetuka. Tatizo lako ni Psychology zaidi, na wala dawa za kienyeji hazitakusaidia lolote. Kwanza kabisa acha Nyeto, pili acha kutazama video za ngono, tatu tafuta demu mmoja awe anakupa show time to time ili uweze ku-gain confidence. kubali matokeo ya choice zako na uamue kubadilika. Be a Man, mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.