kamanda wa makamanda
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 633
- 498
we dada una kiherehere,...jf nzima unatamba ww tu, watoto wa mbagala bwanaMwezi mmoja tu umechoka???humpendi umemtamani. Unataka ule mzigo usepe,we dwmu uliko huko [emoji119]nasema na Malaika wako mkazie huyu mbuziii
Sisi tutakuzika mkuu sio lazima akuzike yeye [emoji1] [emoji1] [emoji1]Natak wa kufa na kuzikana
[L][Sisi tutakuzika mkuu sio lazima akuzike yeye [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jipe moyo utashindaNatak wa kufa na kuzikana
Atatoa sare tu ila kushinda sidhani........Jipe moyo utashinda
Hahaha mzee time will tellAtatoa sare tu ila kushinda sidhani........
Asante kwa ushauri mkuuMi mwenzio nilikaa miaka miwili sikuambulia kitu na ndio kilichonifanya niwe nae hadi leo kwenye ndoa.
Ha! Ha! Sins mbavuAtatoa sare tu ila kushinda sidhani........
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua kupendaaaaa au bado,mi mke wangu nilimtongoza mwaka 1 na miezi 3, nilikua Naingia nae mpaka gesti na hanipi mpaka yeye mwenyewe ananiuliza si unapata hasara kaka,kila siku tunakaa humu ndani tunashikana halafu tunaondoka tu,wakati ananiuliza ivyo kumbuka yeye mwenyewe nda hataki kutoa,ukifika state house,anakwambia nooooooooooo, sasa ndugu yangu huyo ni wife material,kazi ni kwako vumilia upate mke bora,au kurupuka na nyege zako uishie njia panda ya alaska,kama unaona anakufaa kuwa mke ntakupa plan no2.alamsik
mkuu huo ni uchochezi sisi wa mbagala tumefanya nini tenawe dada una kiherehere,...jf nzima unatamba ww tu, watoto wa [HASHTAG]#mbagala[/HASHTAG] bwana