Ninaweza soma chuo gani kwa wasifu huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninaweza soma chuo gani kwa wasifu huu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NZURI PESA, Apr 11, 2012.

 1. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu.
  Ninaomba na kuhitaji ushauri wenu katika hili.Nina binamu yangu amesoma cheti katika chuo KIKUU CHA KWAZULU NATAL cha Afrika ya Kusini,FACULTY of HUMANITIES,SOCIAL SCIENCE and DEVELOPMENT.kozi inaitwa WORKING WITH CHILDREN,FAMILIES & COMMUNITIES AFFECTED BY HIV/AIDS,POVERTY,CONFLICT & DISPLACEMENT
  Swali: Je anaweza kusoma chuo gani hapa nchini kwa level ya DIPLOMA.
  Natanguliza shukran
  N.P
   
 2. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  cheki ISW aka Ustawi wa jamii, bamaga mwenge!
   
 3. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Asante sana mkuu
   
Loading...