NINAWEZA KUPATA KITABU kinachofundisha ufugaji wa samaki?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Vitabu vya namna ya ufugaji samaki,kuanzia uchimbaji bwawa,ulishaji,urutubishaji bwawa mpaka namna ya uvuaji,vitabu hivi nina vihitaji hasa vya kiswahili, nasikia kuna chuo kikuu kimoja hapa tanzania waliwahi kutoa/kuchapa kitabu cha namna hiyo,hivyo kama kuna yeyote anafahamu basi anielekeze,
 
Ufugaji wa samaki katika bwawa :

kimeandikwa na kuhaririwa na kiwanda cha uandishi cha taifa /

Main Author:
Mwingira, V. N.
Format:
Books/Pamphlets
Language:
Swahili
Published:
Dar es Salaam : Wizara ya Elimu ya Taifa, 1977.
Series:
Swahili language material
Subjects:
Fishes, Breeding.
 
Uvuvi na ufugaji wa samaki
Samson N. Massamu. Published 1977 by Tanzania Pub. House , Dar es Salaam.
Written in Swahili.
 
Back
Top Bottom