Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Wengine ni wasomi kabisa, wenye PhD zao.
Ukirejea matokeo ya awali, kufuatia uchaguzi mkuu wa 2015, kati ya Kata 22 zilizorudia uchaguzi, CCM ilikuwa inamiliki Kata 21 na Chadema Kata 1.
Baada ya uchaguzi kurudiwa kufuatia aidha vifo au kubatilishwa na Mahakama, CCM wamefanikiwa kutetea Kata zao 21 na Chadema Kata yao 1.
Kwa munasaba huo, katika Uchaguzi huo wa marudio, hakuna aliyeshinda au aliyeshindwa, kwa kuwa hakuna aliyepokonywa kile alichokuwa anakimiliki.
Kama Chadema wangepata Kata japo moja kutoka CCM, ungekuwa ni Ushindi mkubwa sana kwao. Na kama CCM wangefanikiwa kuinyang'anya Chadema Kata yao ya awali, basi tungekuwa na kila sababu ya kusema Upinzani umeshindwa.