Ninawashangaa wote wanaofurahia/wanaoumizwa na matokeo ya uchaguzi mdogo wa 22.01.2017

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Wengine ni wasomi kabisa, wenye PhD zao.

Ukirejea matokeo ya awali, kufuatia uchaguzi mkuu wa 2015, kati ya Kata 22 zilizorudia uchaguzi, CCM ilikuwa inamiliki Kata 21 na Chadema Kata 1.

Baada ya uchaguzi kurudiwa kufuatia aidha vifo au kubatilishwa na Mahakama, CCM wamefanikiwa kutetea Kata zao 21 na Chadema Kata yao 1.

Kwa munasaba huo, katika Uchaguzi huo wa marudio, hakuna aliyeshinda au aliyeshindwa, kwa kuwa hakuna aliyepokonywa kile alichokuwa anakimiliki.

Kama Chadema wangepata Kata japo moja kutoka CCM, ungekuwa ni Ushindi mkubwa sana kwao. Na kama CCM wangefanikiwa kuinyang'anya Chadema Kata yao ya awali, basi tungekuwa na kila sababu ya kusema Upinzani umeshindwa.
 
Mkuu uchaguzi huo ulihusisha na wajumbe wa serikali za mitaa pia ambao kujaza nafasi zilizokuwa wazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo vifo n.k. Hapo ndio kuna mabadiliko kiasi flani. Kuna baadhi ya wagombea kupitia CCM wameshinda ktk sehemu ambazo walipoteza kwa upinzani ktk uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita. Hiyo inashiria jambo flani chanya kwa walioshinda. Siri ya ushindi wa CCM inaanzia hapo kwa maana ya chama kinajiimarisha kuanzia mtaa hadi mtaa na hao ndio watu wao wa fitina wakati wa undikishaji daftari la wapiga kura. Hili jambo liwe kengele ya tahadhari kwa vyama vya upinzani kwamba pengine siasa wanazoendesha za ukosoaji kila jambo na kuishi kwa matukio madogo madogo hazijaleta tija sana huko ngazi za chini waliko wapiga kura wengi ambao sio wasomi wao wakiambiwa wimbo wa demokrasia inaminywa hawakuelewi wakati watoto wao wanasoma bure sasa, wakienda kupata huduma ktk taasisi za umma hakuna foleni ndefu, urasimu na rushwa za kipuuzi kama za zamani. Ushauri kwa upinzani watafute hoja nzuri na mbinu za kujiimarisha zile za kisera kuliko za kimatukio yanayopita na kusahaulika muda mfupi. Mfano:-
1. Leo hoja ya sukari imekufa.
2. Bunge Live
3. Tetemeko la Bukoba
4. Mkuu hajui kiiengereza haendi nchi za nje
5. Ndoto za kwamba mtu yule atakufa kabla ya kumaliza muhula wake wa kwanza.
6. Kwanini hajaenda kumpokea airport rais wa Uturuki.
7. Bombedier sio ndege speed yake bora bajaji.
8. Kuhamia Dodoma gharama kubwa hatuna fedha hiyo wakati kumbe malori ya majeshi yapo kibao na makazi yanajengwa na TBA na NHC na taasisi zingine kibao kwa kasi ya ajabu.
9. Mwanaasiasa flani akajifanya hajui hesabu akapotosha Kodi itokanayo na gharama za tozo za miamala ya kutuma au kutoa fedha ktk mitandao na mabenki.
10. Ongeza mengine Mengi tu yaliyovuma yakapotea haraka tu.

TULITAKIWA TUJADILI HOJA KAMA HIZI
1. Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
2. Mikataba ya uvunaji gesi na madini au maliasili zingine.
3. Umri wa kustaafu upunguzwe kuwapa vijana nafasi ya ajira tupunguze tatizo la ukosefu ajira kwa vijana.
4. Mashariti nafuu ya mikopo ya kilimo na ufugaji ili tuzalishe malighafi nyingi kwa ajili ya viwanda na kuongeza ajira kwa watu wa ngazi za chini.
5. Mifuko ya kuhudumia wazee iboreshwe.
6. Sera na mikakati mizuri ya mipango miji. Lengo kuboresha makazi kuepusha magonjwa ya milipuko, migogoro ya ardhi na kuwezesha upatikanaji wa hati ambazo zitafaa kuwa dhamana ya mikopo.
7. Sera nzuri za mgawanyo wa mapato ya serikali za mitaa ili kuboresha miundo mbinu yetu hadi ngazi za mitaa.
8. Kupunguza mashariti mengi na magumu kwa wanunuzi wa mazao ya viungo, mboga mboga na matunda kwa wafanyabiashara toka nje hasa nchi jirani za EAC ili kukuza soko iwezeshe kupandisha bei za hayo mazao ili mkulima afaidike.
9. Kupunguza mashariti magumu ya mikopo ya kilimo kwa bank ya Kilimo ya TADB na kupanua wigo wa mikoa inayonufaika na mikopo hiyo. Haingii akilini DSM na Pwani inastahili mikopo hiyo lakini Rukwa, Tabora, Arusha, Shinyanga, Mbeya, Ruvuma, Manyara, n.k. haistahili.
10. Sera za hifadhi ya mifuko ya jamii hasa uwekezaji wao ktk miradi ya maendeleo, fao la kujitoa n.k.
11. Sera ya huduma ya mfuko wa afya hasa kwa watu wasio ktk ajira rasmi.
12. Marekebisho au maboresho ya sheria ya posta na simu, Sheria ya makosa ya mtandao na Sheria ya uendeshaji vyombo vya habari. Hizi sheria ni za kufanyiwa marekebisho kidogo kama alivyoshauri Raisi kwamba zikipitishwa ipo fursa za kufanyia mabadiliko au maboresho.
13. Yapo mengine mengi ongezea wewe ..

Haya mawazo yangu tu naweza kuwa sipo sahihi nakaribisha kukosolewa. Hii ni kwa ajili ya watu wasiofungwa na ukada wa chama na wale wasiofuata upepo wa matukio.
 
Wengine ni wasomi kabisa, wenye PhD zao.

Ukirejea matokeo ya awali, kufuatia uchaguzi mkuu wa 2015, kati ya Kata 22 zilizorudia uchaguzi, CCM ilikuwa inamiliki Kata 21 na Chadema Kata 1.

Baada ya uchaguzi kurudiwa kufuatia aidha vifo au kubatilishwa na Mahakama, CCM wamefanikiwa kutetea Kata zao 21 na Chadema Kata yao 1.

Kwa munasaba huo, katika Uchaguzi huo wa marudio, hakuna aliyeshinda au aliyeshindwa, kwa kuwa hakuna aliyepokonywa kile alichokuwa anakimiliki.

Kama Chadema wangepata Kata japo moja kutoka CCM, ungekuwa ni Ushindi mkubwa sana kwao. Na kama CCM wangefanikiwa kuinyang'anya Chadema Kata yao ya awali, basi tungekuwa na kila sababu ya kusema Upinzani umeshindwa.
Free and independent electoral commission!
 
We bwana akili nyingi, kwahiyo 2020 Magu akiongezewa kipindi cha miaka 5 ingine na babu akarudi tena kuchunga ng'ombe, hapo pia hamna aliyeshinda wala kushindwa??
 
Mkuu uchaguzi huo ulihusisha na wajumbe wa serikali za mitaa pia ambao kujaza nafasi zilizokuwa wazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo vifo n.k. Hapo ndio kuna mabadiliko kiasi flani. Kuna baadhi ya wagombea kupitia CCM wameshinda ktk sehemu ambazo walipoteza kwa upinzani ktk uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita. Hiyo ibaashiria jambo jambo flani chanya kwa walioshinda. Siri ya ushindi wa CCM inaanzia hapo kwa maana ya chama kinajiimarisha kuanzia mtaa hadi mtaa na hao ndio watu wao wa fitina wakati wa undikishaji daftari la wapiga kura. Ili jambo liwe kengele ya tahadhari kwa vyama vya upinzani kwamba pengine siasa wanazoendesha za ukosoaji kila jambo na kuishi kwa matukio madogo hazijaleta sana tija huko ngazi za chini waliko wapiga kura wengi ambao sio wasomi wao wakiambiwa wimbo wa demokrasia inaminywa hawakuelewi wakati watoto wao wanasoma bure sasa, wakienda kupata huduma ktk taasisi za umma hakuna foleni ndefu, urasimu na rushwa za kipuuzi kama za zamani. Ushauri kwa upinzani watafute hoja nzuri na mbinu za kujiimarisha zile za kisera kuliko za kinatukio yanayopita na kusahaulika muda mfupi. Mfano:-
1. Leo hoja ya sukari imekufa.
2. Bunge Live
3. Tetemeko la Bukoba
4. Mkuu hajui kiiengereza haendi nchi za nje
5. Ndoto za kwamba mtu yule atakufa kabla ya kumaliza muhula wake wa kwanza.
6. Kwanini hajaenda kumpokea airport rais wa Uturuki.
7. Bombedier sio ndege speed yake bora bajaji.
8. Kuhamia Dodoma gharama kubwa hatuna fedha hiyo wakati kumbe malori ya majeshi yapo kibao na makazi yanajengwa na TBA na NHC na taasisi zingine kibao kwa kasi ya ajabu.
9. Mwanaasiasa flani akajifanya hajui hesabu akapotosha Kodi itokanayo na gharama za tozo za miamala ya kutuma au kutoa fedha ktk mitandao na mabenki.
10. Ongeza mengine Mengi tu yaliyovuma yakapotea haraka tu.

TULITAKIWA TUJADILI HOJA KAMA HIZI
1. Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
2. Mikataba ya uvunaji gesi na madini au maliasili zingine.
3. Umri wa kustaafu upunguzwe kuwapa vijana nafasi ya ajira tupunguze tatizo la ukosefu ajira kwa vijana.
4. Mashariti nafuu ya mikopo ya kilimo na ufugaji ili tuzalishe malighafi nyingi kwa ajili ya viwanda na kuongeza ajira kwa watu wa ngazi za chini.
5. Mifuko ya kuhudumia wazee iboreshwe.
6. Sera na mikakati mizuri ya mipango miji.
7. Sera nzuri za mgawanyo wa mapato ya serikali za mitaa ili kuboresha miundo mbinu yetu hadi ngazi za mitaa.
8. Kupunguza mashariti mengi na magumu kwa wanunuzi wa mazao ya viungo, mboga mboga na matunda kwa wafanyabiashara toka nje hasa nchi jirani za EAC ili kukuza soko iwezeshe kupandisha bei za hayo mazao ili mkulima afaidike.
9. Kupunguza mashariti magumu ya mikopo ya kilimo kwa bank ya Kilimo ya TADB na kupanua wigo wa mikoa inayonufaika na mikopo hiyo. Haingii akilini DSM na Pwani inastahili mikopo hiyo lakini Rukwa, Tabora, Arusha, Shinyanga, Mbeya, Ruvuma, Manyara, n.k. haistahili.
10. Sera za hifadhi ya mifuko ya jamii hasa uwekezaji wao ktk miradi ya maendeleo, fao la kujitoa n.k.
11. Sera ya huduma ya mfuko wa afya hasa kwa watu wasio ktk ajira rasmi.
12. Marekebisho au maboresho ya sheria ya posta na simu, Sheria ya makosa ya mtandao na Sheria ya uendeshaji vyombo vya habari. Hizi sheria ni za kufanyiwa marekebisho kidogo kama alivyoshauri Raisi kwamba zikipitishwa ipo fursa za kufanyoa mabadiliko au maboresho.
13. Yapo mengine mengi ongezea wewe ...

Haya mawazo yangu tu naweza kuwa sipo sahihi nakaribisha kukosolewa. Hii ni kwa ajili ya watu wasiofungwa na ukada wa chama na wale wasiofuata upepo wa matukio.

Mchango mzuri sana Bandugu.
 
Wengine ni wasomi kabisa, wenye PhD zao.

Ukirejea matokeo ya awali, kufuatia uchaguzi mkuu wa 2015, kati ya Kata 22 zilizorudia uchaguzi, CCM ilikuwa inamiliki Kata 21 na Chadema Kata 1.

Baada ya uchaguzi kurudiwa kufuatia aidha vifo au kubatilishwa na Mahakama, CCM wamefanikiwa kutetea Kata zao 21 na Chadema Kata yao 1.

Kwa munasaba huo, katika Uchaguzi huo wa marudio, hakuna aliyeshinda au aliyeshindwa, kwa kuwa hakuna aliyepokonywa kile alichokuwa anakimiliki.

Kama Chadema wangepata Kata japo moja kutoka CCM, ungekuwa ni Ushindi mkubwa sana kwao. Na kama CCM wangefanikiwa kuinyang'anya Chadema Kata yao ya awali, basi tungekuwa na kila sababu ya kusema Upinzani umeshindwa.
Wewe ni mpumbavu na lofa. Kama mlijua hivyo kwa nini mpoteze rasilimali fedha na muda kugombea. Si mngewaachia tu CCM Kata zao 21.
 
Back
Top Bottom