Walivo ma...... watapiga paka gari za fire na ambulance wakikosa kila kitu.Watawapiga bao madereva wa daladala. Njaa ikizidi watakimbilia hadi magari ya mwendokasi. Mentalities zao zishaoza na rushwa
Si ajabu wakakamata pia AmbulanceTuki goma, watahamia kwenye bodaboda, bajaji na daladala pengine mwendokasi.
Na wanaweza kuanza kukamata watembea kwa miguu ,kama umevuka barabara bila kuangalia Kushoto au kulia unapigwa fine hapo hapo.
Akikosa atakwambia angalia viatu vyangu vilivyochafuka.Dawa kufuata sheria zote, akikukamata akose kosa!!!
Kwani tatizo nini hapa kiongozi?Poleni kwa manyanyaso mnayoyapata pamoja na kugeuzwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama wa bara barani kuwa kitega uchumi kipya na chanzo chao cha kuongezea mapato na kujipatia sifa.
'These people have made u fool of theirs and now its your time to make them fool of themselves'.
'They have shown us who they are and now its our time to show them who we are'. ..
Nawahamasisha myapaki magari yenu nyumbani kwa mda wa wiki moja au mbili hivi na muwe mnayaendesha nyakati za usiku ili tuone watakamata nini.
Hakuna haki inayokuja kirahisi.. Wacheni bara bara nyeupe polisi waweke magari yao.. Mkiwachekea mishahara yenu itaishia kwenye fine huku watoto wenu wanakufa njaa.
Hakosi kosa, ukim bana sana anakwambia matumizi mabaya ya barabara inauma Sana jana nimeongea hovyo mbele yaoDawa kufuata sheria zote, akikukamata akose kosa!!!
Kweli unawaletetea hao watu!!?Serikali haina tatizo na anayefuata sheria,wala huwezi kupigwa faini kama Gari yako imekamilika kila kitu.
Siwatetei Wana usalama barabarani,najua kuwa wanatimiza matakwa ya sheria.Kweli unawaletetea hao watu!!?
Mkuu hivi kweli mtu anatalalamika bila kosa, kwa kuwa watanzania tunapenda kulalamika au? Mkuu wewe ni mmoja wao au? Unaambiwa "mwendo kasi baada ya 50 ndefu, speed 59" umeongozana na gari nyingine yupo mbele yako tena sio ati unataka kumpita hapana, kama wa Nyuma Ana 59 wa mbele Ana ngapi? Na tumemkuta kasimamishwa tunafika sisi anaruhusiwa kwamba hana makosa wenye makosa ni sisi picha imepigwa kwa Nyuma, labda hatujui sheria basi watoe somo tueleweshwe. Bila kutoa elimu tutawalaumu kila siku. unatetea!?Siwatetei Wana usalama barabarani,najua kuwa wanatimiza matakwa ya sheria.
Na kama kila kitu Kiko sawa hautapigwa faini.
Na ukisoma ile sheria vizuri na wana usalama wakisema wasimamie yote kama sheria inavyotaka nadhani yatatembea magari machache sana barabarani.
Wamekuwa wana angalia vitu vya msingi zaidi ili maisha yaende otherwise makosa ya faini ktk Gari ni mengi sana.
Waliokuwepo eneo la tukio ndiyo wanaweza kuwa na majibu sahihi.Mkuu hivi kweli mtu anatalalamika bila kosa, kwa kuwa watanzania tunapenda kulalamika au? Mkuu wewe ni mmoja wao au? Unaambiwa "mwendo kasi baada ya 50 ndefu, speed 59" umeongozana na gari nyingine yupo mbele yako tena sio ati unataka kumpita hapana, kama wa Nyuma Ana 59 wa mbele Ana ngapi? Na tumemkuta kasimamishwa tunafika sisi anaruhusiwa kwamba hana makosa wenye makosa ni sisi picha imepigwa kwa Nyuma, labda hatujui sheria basi watoe somo tueleweshwe. Bila kutoa elimu tutawalaumu kila siku. unatetea!?