Ninavyotafuna pisi kali kwa kufananishwa na mtu mmoja maarufu hapa nchini

Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL?

Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel
Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy
Mzee choka mbaya mtoto wa mjino alivhoganya ni kuchonga siti zake mbili na kukatiza mitaa ya london. Mademu wakawa wanajigonga kwake wakidhani ni Raniel orijino kumbe fake. Aliwatafuna aswaaa.

Sojisifii ila nimefanana na mtu mmoja maarufu hapa nchini. Japo jamaa sio handsome kama mimi ila amerahisisha maisha yangu, sijui siku akifa nitaishije?

Mwaka wa nne huu sina leseni naendesha gari trafiki wakinikamata huniita kwa jina la huo msukule wangu na kuniruhusu. Nimegonga pisi kali sana kwa mtindo huo. Kuna mmoja ni mwanasheria baada ya kumchapa na kugundua sio mimi akatishia kunishitaki kwa kosa la impersonation.

Ila aliamua kupotezea, nilimtia hasara sana dada yule.. Naomba Mungu jamaa asife leo wala kesho. Niliwahi kukutanishwa na hiyo jamaa kila mtu akabaki kucheka
We jamaa tafuta hela. Acha mbwembwe
 
Wewe na huyo unaejifananisha nae nani ana pesa? Maana kama wewe misheni town huna jipya. Tofauti ipo tu sema bado unakutana na wajinga.
 
Back
Top Bottom