Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,419
- 31,440
Ramadhani Dau aliteuliwa na Rais Mkapa.Dau ingawa alikuwa ni msomi lakini hakuwa na finacial intelligence ya kusimamia shirika kubwa kama lile, yeye alisomea zaidi mambo ya marketing na ndio kazi aliyokuwa anafanya kule Harbours baada ya Kutoka Chuo Kikuu. Sasa katika kutekeleza hiyo dhana ya religious rationalization ndio wazee wakina Kiwana Kondo wakatumia influence yao na kumteua kijana wao bila kufikiria zaidi juu ya experience na relevance ya education yake to the job!! Ndio maana Dau alipofika tu pale NSSF kama kinara jukumu lake kama alivyopata kile cheo yeye Ikawa kujaza nafasi nyingi na waislam[ kutekeleza religious rationalization] na Ikawa hivyo mpaka alivyomaliza muhula wake!! NSSF mpaka hifi sasa kwasababu ya makosa yaliyofanywa ya kuangalia dini ya mtu badala ya weledi ni shirika ambalo ni mufilisi na kupelekea wafanyakazi wasipate mafao yao mara wanapostaafu!!
RATIONALIZATION ya ana yeyote ile inapotekelezwa ni lazima weledi na uzoefu wa wahusika kupewa kipaumbele!!!
Rudi usome Taazia aliyoandika baada ya kifo cha Mkapa. Pitia kila mstari kwa nukta zake maana andiko lile linahitaji uwezo mkubwa wa kufikiri.
JokaKuu