Ninavyomkumbuka Maalim

Dau ingawa alikuwa ni msomi lakini hakuwa na finacial intelligence ya kusimamia shirika kubwa kama lile, yeye alisomea zaidi mambo ya marketing na ndio kazi aliyokuwa anafanya kule Harbours baada ya Kutoka Chuo Kikuu. Sasa katika kutekeleza hiyo dhana ya religious rationalization ndio wazee wakina Kiwana Kondo wakatumia influence yao na kumteua kijana wao bila kufikiria zaidi juu ya experience na relevance ya education yake to the job!! Ndio maana Dau alipofika tu pale NSSF kama kinara jukumu lake kama alivyopata kile cheo yeye Ikawa kujaza nafasi nyingi na waislam[ kutekeleza religious rationalization] na Ikawa hivyo mpaka alivyomaliza muhula wake!! NSSF mpaka hifi sasa kwasababu ya makosa yaliyofanywa ya kuangalia dini ya mtu badala ya weledi ni shirika ambalo ni mufilisi na kupelekea wafanyakazi wasipate mafao yao mara wanapostaafu!!

RATIONALIZATION ya ana yeyote ile inapotekelezwa ni lazima weledi na uzoefu wa wahusika kupewa kipaumbele!!!
Ramadhani Dau aliteuliwa na Rais Mkapa.

Rudi usome Taazia aliyoandika baada ya kifo cha Mkapa. Pitia kila mstari kwa nukta zake maana andiko lile linahitaji uwezo mkubwa wa kufikiri.

JokaKuu
 
..asante kwa maelezo yako.

..lakini wapo Wakristo wengi tu ambao waliteuliwa ktk nafasi mbalimbali na utendaji wao haukuwa wa kuridhisha na wameliingizia taifa hasara.

..mimi nadhani hatua za kuonyesha kwamba "keki ya taifa" inagawanywa kwa usawa zinatakiwa kuwa endelevu.

..siyo jambo zuri kuwa na sehemu ya jamii ya Watanzania ambao wanajiona hawatendewi haki ktk taifa lao.

Ni kweli kuwa wako wakisto pia waliopewa nafasi na kulitia Taifa hasara kubwa; hao nao ukichunguza utakuta kuna mapungufu katika kuteuliwa kwao mfano ni kwa Kikwete kumteua Mattaka kwenda ACTL!! Hatua za kugawa keki ya Taifa equitably ni kweli zinatakiwa kuwa endelevu .
Huku bara waislam ndio wanaolalamika lakini ukienda visiwani the opposite is the case; not to say Christians but non muslims are marginalized!!!

Ni kweli sio vyema sehemu ya jamii ya watanzania kujiona hawatendewi haki katika taifa lao iwe visiwani au bara.
 
Rudi usome Taazia aliyoandika baada ya kifo cha Mkapa. Pitia kila mstari kwa nukta zake maana andiko lile linahitaji uwezo mkubwa wa kufikiri.

Itabidi nikutafute sheikh Mohamed unisaidie kufikiri!!
 
Ni kweli kuwa wako wakisto pia waliopewa nafasi na kulitia Taifa hasara kubwa; hao nao ukichunguza utakuta kuna mapungufu katika kuteuliwa kwao mfano ni kwa Kikwete kumteua Mattaka kwenda ACTL!! Hatua za kugawa keki ya Taifa equitably ni kweli zinatakiwa kuwa endelevu .
Huku bara waislam ndio wanaolalamika lakini ukienda visiwani the opposite is the case; not to say Christians but non muslims are marginalized!!!

Ni kweli sio vyema sehemu ya jamii ya watanzania kujiona hawatendewi haki katika taifa lao iwe visiwani au bara.

..miaka ya 1990 nilipoanza kusikia hoja na malalamiko ya Waislamu kusahauliwa ktk teuzi mbalimbali nilikuwa na mtizamo kwamba kulikuwa hakuna Waislamu wa kutosha wenye qualifications zinazohitajika.

..lakini muda umekwenda na sioni kama watawala wanalishughulikia tatizo hili kwa uzito unaostahili. kwa mfano, sioni justification yoyote leo hii 2021 baraza la mawaziri wateuliwe Wakristo 23 na Waislamu 3.

..naamini wako Waislamu wa kutosha wenye qualifications za kuteuliwa ktk nafasi mbalimbali.
 
..miaka ya 1990 nilipoanza kusikia hoja na malalamiko ya Waislamu kusahauliwa ktk teuzi mbalimbali nilikuwa na mtizamo kwamba kulikuwa hakuna Waislamu wa kutosha wenye qualifications zinazohitajika.

..lakini muda umekwenda na sioni kama watawala wanalishughulikia tatizo hili kwa uzito unaostahili. kwa mfano, sioni justification yoyote leo hii 2021 baraza la mawaziri wateuliwe Wakristo 20 na Waislamu 3.

..naamini wako Waislamu wa kutosha wenye qualifications za kuteuliwa ktk nafasi mbalimbali.
Nakubaliana na wewe kuwa kuna waislamu wengi na wanawake pia wenye qualifications za kuweza kuteuliwa katika nafasi nyingi za uteuzi ukiwamo uwaziri, lakini kama tunavyofahamu teuzi kama za cabinet ni prerogative ya RAIS kwani hakuna guidelines ya jinsi ya composition ya Baraza la mawaziri !. Hivyo basi jinsi ya kuchagua mawaziri inategemea busara ya nani anakalia kiti cha urais!!! Ndio maana unaweza kukuta Rais mkola anachagua robo tatu ya cabinet toka kwao!!!!
 
Masta...
Hivyo ninavyoandika ndiyo ukweli ulivyo na kwa uhakika nchi yetu una tatizo kubwa la udini.

Tuna serikali ambayo katika mawaziri 23 Waislam ni 3.

Hali ni hiyo katika mgao wa madaraka na fursa 20:80.

Ikiwa kwangu mimi kueleza ukweli huu ni udini labda unionyeshe njia bora ya kutahadharisha jamii kuhusu jambo hili.
Je uliwahi kuandika Tanzania bara katika mawaziri wote wakristo ni wangapi,?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Serekali haiwezi kuyafanyia kazi mana hayo hayakuja kwa bahati mbaya, ni mikakati maalumu ambayo ipo. Waislamu always wawe second class citizens kwenye hii nchi.

Second Class citizens wanakuwa Marais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu wa nchi; halafu unadiriki kuwaita hivyo? Una lako jambo!
 
Second Class citizens wanakuwa Marais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu wa nchi; halafu unadiriki kuwaita hivyo? Una lako jambo!

..lakini Raisi kuteua Wakristo 23 na Waislamu 3 ktk baraza la mawaziri nadhani sio fair. Au nasema uongo?

..kama mnadhani ni halali basi tujaribu wateuliwe Waislamu 23 na Wakristo 3 ili na sisi Wakristo tuone kama tutaridhika.
 
JokaKuu hebu weka na uwiano wa baraza la mawaziri wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kuna wakristo wangapi na waisalam wangapi?
 
JokaKuu hebu weka na uwiano wa baraza la mawaziri wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kuna wakristo wangapi na waisalam wangapi?

..at least, Znz wanaweza kujitetea kwamba wao Waislamu ni 95%++ na Wakristo ni 5%--.

..lakini huku Tanganyika, najua sensa haijathibitisha, lakini mimi hisia zangu ni kwamba Waislamu wako wengi kuliko Wakristo.

..Now, kwanini hatuyashughulikii malalamiko ya ndugu zetu Waislamu? Kwanini tunawafanya wajisikie wanyonge na kutengwa ktk nafasi za uteuzi?
 
..Now, kwanini hatuyashughulikii malalamiko ya ndugu zetu Waislamu? Kwanini tunawafanya wajisikie wanyonge na kutengwa ktk nafasi za uteuzi?

Serikali inashuhulikia malalamiko ya wananchi wake kwa usawa irrespective ya dini zao na ndio maana KATIBA imeeleza wazi kuwa serikali haina DINI! Wale wote wanaopata teuzi hawaendi kutimiza majukumu yao kuwahudumia watu wa dini zao bali wananchi wote.

Tufahamu kuwa dini za waislam na wakisto zote sio homogeneous, hivyo ukitaka kufanya teuzi kufuatana na dini utafungua PANDORA'S box kwani leo ukisema utateua kuwaridhisha waislam wa sunni ,kesho makadiani nao watalalamika hivyo malalmiko hayatakwisha. Na wakristo vile vile kuna wakatoliki, walutheri na wengine chungu nzima nao ukisema ufuate udini wao kuwapa teuzi utajikuta hufanyi kazi bali kutatua malalamiko ya udini. Kuepusha hayo malalmiko ndio maana siku hizi teuzi zinafanywa kufuatana na cv za wananchi amabazo kuepuka upendeleo tekinolojia inatumika kupitia mitandao kupata watu makini irrepective ya dini zao.

Kwa ujumla upendeleo wa aina yeyote sio mzuri, iwe kwa wengi au wachache hivyo hoja yako kuwa SMZ ina justification kuwapendelea waislam haina mashiko.

.
 
Dah, Maalim ulituumiza sana baada ya kujiunga na CCM, dah. Hasa ikizingatiwa dawa ya watu wasio na hatia kumwagika, hakika ulitusaliti wapenda haki na watetezi wa haki za binadamu
Nakazia.

Post yako ilistahili kuwa Post ya kwanza.

Hujapepesa macho mkuu.
 
Serikali inashuhulikia malalamiko ya wananchi wake kwa usawa irrespective ya dini zao na ndio maana KATIBA imeeleza wazi kuwa serikali haina DINI! Wale wote wanaopata teuzi hawaendi kutimiza majukumu yao kuwahudumia watu wa dini zao bali wananchi wote.

Tufahamu kuwa dini za waislam na wakisto zote sio homogeneous, hivyo ukitaka kufanya teuzi kufuatana na dini utafungua PANDORA'S box kwani leo ukisema utateua kuwaridhisha waislam wa sunni ,kesho makadiani nao watalalamika hivyo malalmiko hayatakwisha. Na wakristo vile vile kuna wakatoliki, walutheri na wengine chungu nzima nao ukisema ufuate udini wao kuwapa teuzi utajikuta hufanyi kazi bali kutatua malalamiko ya udini. Kuepusha hayo malalmiko ndio maana siku hizi teuzi zinafanywa kufuatana na cv za wananchi amabazo kuepuka upendeleo tekinolojia inatumika kupitia mitandao kupata watu makini irrepective ya dini zao.

Kwa ujumla upendeleo wa aina yeyote sio mzuri, iwe kwa wengi au wachache hivyo hoja yako kuwa SMZ ina justification kuwapendelea waislam haina mashiko.

.

..hii "santuri" unayonichezea imeshachezwa muda mrefu sana, na sasa ina mikwaruzo.

..mimi ni MKRISTO lakini nimechoka kubeba dhambi ya serikali kuwabagua Waislamu ktk nafasi za uteuzi.

..kungekuwa na juhudi za dhati za kutatua tatizo hili, leo hii miaka 59 toka tupate uhuru tusingeishia kuwa na Wakristo 23 na Waislamu 3 ktk baraza la mawaziri.
 
hii "santuri" unayonichezea imeshachezwa muda mrefu sana, na sasa ina mikwaruzo.

..mimi ni MKRISTO lakini nimechoka kubeba dhambi ya serikali kuwabagua Waislamu ktk nafasi za uteuzi

Hii mikwaruzo ya santuri inabidi tuifute!!! Kuifuta hii mikwaruzo tunahitaji kuwa na Taasisi za bunge na mahakama zinazojitambua [kuwa na uhuru wa kazi zao]!!! Hilo linawezekana tu wananchi wao wenyewe wakiamua lakini ukingojea busara ya watawala,hilo haliwezekani!!! Equity considerations in society are complex but not impossible to rectify.
 
..hii "santuri" unayonichezea imeshachezwa muda mrefu sana, na sasa ina mikwaruzo.

..mimi ni MKRISTO lakini nimechoka kubeba dhambi ya serikali kuwabagua Waislamu ktk nafasi za uteuzi.

..kungekuwa na juhudi za dhati za kutatua tatizo hili, leo hii miaka 59 toka tupate uhuru, tusingeishia kuwa na Wakristo 23 na Waislamu 3 ktk baraza la mawaziri.
Wewe Mzee kubali hujui aina ya igezo vinavyotumika hadi Raisi kufikia hatua ya KUMTEUA mtu katika nafasi ya uongozi. Hebu nikuulize swali rahisI: ukiwaangalia hao Waislamu wote walioteuliwa na JPM unawaweka katika kundi gani ukilinganisha na Wakristo wateule? Rais hawezi kumteua mtu tu sababu ya dini yake, lakini hapohapo ana haki ya kumteua mtu yoyote ambaye anajua anaendana na misimamo, mitazamo, matakwa, uadilifu na adabu inayoendana na imani yake. Kama Rais akiona Mkristo au Muislamu fulani yupo qualkified zaidi kulingana na vigezo anavyotumia, kuna kosa gani?
 
Wewe Mzee kubali hujui aina ya igezo vinavyotumika hadi Raisi kufikia hatua ya KUMTEUA mtu katika nafasi ya uongozi. Hebu nikuulize swali rahisI: ukiwaangalia hao Waislamu wote walioteuliwa na JPM unawaweka katika kundi gani ukilinganisha na Wakristo wateule?

..kuna tatizo mahali.

..it doesn't make sense na siyo HAKI Raisi kuteua na Mawaziri 23 Wakristo na Mawaziri 3 Waislamu.
 
..kuna tatizo mahali.

..it doesn't make sense na siyo HAKI Raisi kuteua na Mawaziri 23 Wakristo na Mawaziri 3 Waislamu.
Well, ni haki kulingana na katiba and it does make a lot of sense from what I just described above
 
Kama isingekuwa Haki kulingna na Katiba, Waislamu wangeshaanza kuchinja Wakristo na kupiga mabomu yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom