Ahmed Msangi ni kijana muungwana na mstaarabu ninayemfahamu toka ujana tukiwa Kigurunyembe Morogoro. Napata shida na tabu kwamba anaweza shiriki ushenzi kama huo... Kama anachafuliwa inabidi afanye jitihada kubwa kujisafisha na uchafu huu!
Nilioattach wapi?
kwenye avatar yako hapo mkuu...
Mwambie wewe mpwa, nikisema mie itakua ishu!kwenye hasira, maumivu na mateso kuna muda wa kushughulisha ubongo?
Kama hiyo siku itawakuta haihuyu jamaa , kova, zombe, mahita, said muovu( IGP) , lazima siku ya kiama watajiju na moto wa milele
Kama hiyo siku itawakuta hai
Ndio huyu Hemedi Msangi !
unamaanisha yule ambaye ametajwa kwenye matukio kadhaa ya utesaji ?
huyu jamaa , kova, zombe, mahita, said muovu( IGP) , lazima siku ya kiama watajiju na moto wa milele