1 Timotheo 2:1-2Unakosa uzalendo chief
1 Timotheo 2:1-2Unakosa uzalendo chief
Huwezi kuwapenda equally. Be honest with yourself.Baada ya utangulizi hapo juu leo nitatoa mrejesho wa mada tajwa.
Mimi niko na wake wawili na ninawapenda wote equally. Ilikuwa kazi ngumu sana kwangu kuanza maisha mapya, kwanza ndugu walianza maneno yao mengi tu na ifahamike nimetokea familia ya kikristo. Sikumsikiliza hata mmoja wao, nilikaa na my wife nikaongea nae kwa undani zaidi akakubali japo kwa mbinde.
Suala lililofuate nikatengwa church nikasema sasa ndio mmenipa amani nilikuwa natafuta sababu ya kutokuhudhuria mana sikuona lolote la msingi zaidi ya sadaka 9 kila jumapili. Na sasa si muamini, bali ni free man, nalo jitahidi kufanya kuonyesha upendo na kuwa social tu thats all. Naenda misibani, naona wagonjwa, kama kuna jirani anahitaji msaada na niko na uwezo nafanya. Dini im sorry i was once a slave. Note: Naamini uwepo wa Mungu turejee kwenye mada.
Mke mdogo amepewa siku 3, mke mkubwa siku 4 (protocol). Ila incase nitahitajika mahali popote na sio siku ya kwenda huko lazima niende ila namtaarifu wa upande wa pili. Mara nyingi kama naenda kwa bibi mdogo siku hyo nikitoka kwenye mihangaiko napitia kwa bibi mkubwanapiga nae story mbili tatu naondoka.
Nacho shukuru wote wanaelewana hawana shida. Na nimeongea nao wote wawili nawajengea nyumba sehemu moja viwanja vimepakana ila nitaweka fensi.Sheria yangu ni moja: Yeyote atakae choka anaruhusiwa kuomba taraka nitampa muda wowote akitaka. But so far, tuko vizuri na tuna miaka 3 sasa.
Ndugu zanguni, tuache hizi mbwembwe za dini za mafalisayo. Babu yangu mimi Guzman_ alikuwa na wake 6 leo mfarisayo amatokea sijui wapi anasema dhambi nasisi kama mazuzu tunasema sawa, na anaenda mbali zaidi kuwa dini zenu ni ushenzi tunakubali, ukijenga kaburi la babu yako ni dhambi kubwa sana, ukienda kutambika upate baraka unaabudu mizimu tukasema sawa.
Alivo maliza sasa wanaanza kusema watu weusi ni mikosi. Hakia nani sisi kweli ni mikosi na wenda wazimu na wakati wakitubagua kwa rangi zetu sisi tunabaguana kwa dini zetu tena zile tumeletewa. Sijui kama kuna mtu anaelewa hapa.
Naomba nikuoe kama bmdogoUmechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
Mimi siwezi kuolewa mke wa piliNaomba nikuoe kama bmdogo
Unataka uwe wakwanza?Mimi siwezi kuolewa mke wa pili
NdioUnataka uwe wakwanza?
Means uko tayari kuwa bi mdogo mkuu?Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
HapanaMeans uko tayari kuwa bi mdogo mkuu?
Baada ya utangulizi hapo juu leo nitatoa mrejesho wa mada tajwa.
Mimi niko na wake wawili na ninawapenda wote equally. Ilikuwa kazi ngumu sana kwangu kuanza maisha mapya, kwanza ndugu walianza maneno yao mengi tu na ifahamike nimetokea familia ya kikristo. Sikumsikiliza hata mmoja wao, nilikaa na my wife nikaongea nae kwa undani zaidi akakubali japo kwa mbinde.
Suala lililofuate nikatengwa church nikasema sasa ndio mmenipa amani nilikuwa natafuta sababu ya kutokuhudhuria mana sikuona lolote la msingi zaidi ya sadaka 9 kila jumapili. Na sasa si muamini, bali ni free man, nalo jitahidi kufanya kuonyesha upendo na kuwa social tu thats all. Naenda misibani, naona wagonjwa, kama kuna jirani anahitaji msaada na niko na uwezo nafanya. Dini im sorry i was once a slave. Note: Naamini uwepo wa Mungu turejee kwenye mada.
Mke mdogo amepewa siku 3, mke mkubwa siku 4 (protocol). Ila incase nitahitajika mahali popote na sio siku ya kwenda huko lazima niende ila namtaarifu wa upande wa pili. Mara nyingi kama naenda kwa bibi mdogo siku hyo nikitoka kwenye mihangaiko napitia kwa bibi mkubwanapiga nae story mbili tatu naondoka.
Nacho shukuru wote wanaelewana hawana shida. Na nimeongea nao wote wawili nawajengea nyumba sehemu moja viwanja vimepakana ila nitaweka fensi.Sheria yangu ni moja: Yeyote atakae choka anaruhusiwa kuomba taraka nitampa muda wowote akitaka. But so far, tuko vizuri na tuna miaka 3 sasa.
Ndugu zanguni, tuache hizi mbwembwe za dini za mafalisayo. Babu yangu mimi Guzman_ alikuwa na wake 6 leo mfarisayo amatokea sijui wapi anasema dhambi nasisi kama mazuzu tunasema sawa, na anaenda mbali zaidi kuwa dini zenu ni ushenzi tunakubali, ukijenga kaburi la babu yako ni dhambi kubwa sana, ukienda kutambika upate baraka unaabudu mizimu tukasema sawa.
Alivo maliza sasa wanaanza kusema watu weusi ni mikosi. Hakia nani sisi kweli ni mikosi na wenda wazimu na wakati wakitubagua kwa rangi zetu sisi tunabaguana kwa dini zetu tena zile tumeletewa. Sijui kama kuna mtu anaelewa hapa.
Wakristo kwa unafiki hatujambo.Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu kuna watu wana pinga bangi ...mimi Nawaaambia amna zao bora kama bangi ..
Huyo mke mkubwa alikuwa na shida gani...au ulimpa sababu gani...je alikuwa tasa ..au mgumba?Word
Wakristo kwa unafiki hatujambo.