VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
Mabibi na mabwana,
Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine wengine mkajifunza.
Mimi ni kijana in my late thirties nimeoa kwa ndoa yakanisani na nimebahatika kupata watoto wawili na mke wangu. Tunaishi Sinza nafuraha.
Ninafanya kazi kwenye shirika moja la mafuta naalhamdulillahi maisha yangu sio mabaya. Mwaka jana nilikutana na kimwana mmojaambae ni mzuri sana na baada ya purukushani za miezi kadhaa akanasa kwenyemtego wangu.
Nilimweleza ukweli kuwa nimeoa na nina familia ila sinafuraha katika ndoa yangu. Pili nimeoa huyu mke kwaajili ya wazazi wangu sababuwalitaka nimwoe hivyo kwa kuwaridhisha ndio maana niko nae.
Bibie akaniamini na akaingia kingi. Nakula mzigo kamamchepuko kwa raha zangu. Kinachoniuma maskini kuna njemba amejitokeza na anataka kumwoa huu mchepuko na bibie hataki!!!
Najisikia vibaya sana kwa sababu jamaa anampenda huyu mchepuko kwa dhati na mimi nampotezea muda wake tu na huku nina michepuke mingine mitatu zaidi yake.
Wapendwa nishaurini nifanyaje sababu napenda kuendelea kula tunda la huu mchepuko na wakati huo huo siwezi kumwacha mke wangu wa ndoa.
Najisikia guilty pia jamaa wa watu anavyohangaika kumtongoza huu mchepuko wangu na najisikia huruma sana.
Wanawake: ASIKUONGOPEE MTU. LOVE OVERCOMES? LOVE RISKS ANYTHING??? TUKIWAAMBIA TUMEOA KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAZAZI TUNAWAONGOPEA MCHANA KWEUPEE. KAMA KWELI NINAMPENDA KWA DHATI HUU MCHEPUKO BASI NINGEMWACHA MKE WANGU NA KUWA NA HUU MCHEPUKO. Wakati mwingine nimeanza kuamini kuwa wanawake ni viumbe wa kudanganywa na kuchezewa.
Wenu,
Mzee wa michepuko