Ninauza toyota harrier lexus 4 ,

Ninauza toyota harrier lexus 4 ,

kashata

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
532
Reaction score
552
Toyota harrier lexus 4 linauzwa milion 21, gari limeshatembea km 600 tu , limetengenezwa mwaka 2011, limeshalipiwa kodi zote pamoja na bima.mawasiliano 0713-377066
 
Gari ndio hilo
 

Attachments

  • 1389534291029.jpg
    1389534291029.jpg
    45.4 KB · Views: 849
Picha nyingine
 

Attachments

  • 1389534596324.jpg
    1389534596324.jpg
    46.1 KB · Views: 702
Toyota harrier lexus 4 linauzwa milion 21, gari limeshatembea km 600 tu , limetengenezwa mwaka 2013, limeshalipiwa kodi zote pamoja na bima.mawasiliano 0713-377066

Km 600 tangia lifike bongo excluding za japan? Au odometer inasoma 600km? Ni 2003 au 2013? Gari ya 2013 Toyota hata kama vitz hauwezi pata kwa bei rahisi ya 21m.
 
Picha za nyingine
 

Attachments

  • 1389534727873.jpg
    1389534727873.jpg
    48.8 KB · Views: 578
  • 1389534758548.jpg
    1389534758548.jpg
    40.8 KB · Views: 571
  • 1389534784554.jpg
    1389534784554.jpg
    39 KB · Views: 543
Kwa hizo criteria/specifications mbona naona bei ni ndogo mkuu? Au hiyo bei ni CIF?
 
Hapana iyo bei inatosha nahitaji niliuze haraka
 
Hii gari sio model ya mwaka 2013 bhana, hiyo ya 1999.....alaf bei mmmmh
 
Hii gari sio model ya mwaka 2013 bhana, hiyo ya 1999.....alaf bei mmmmh

Watu wengine hawajui hata magari....hiyo ni toyota harrier ya mwaka 1998 au 1999. ina cc 2500. gharama zake ukiagiza toka Japan na ukilipia kodi zote haifiki hata million 15
 
Ww mbulula kweli kauze kijijini kwenu mgali wa kizamani huo mm ninayo ya 2005 na haijafika bei hiyo
 
Km 600 tangia lifike bongo excluding za japan? Au odometer inasoma 600km? Ni 2003 au 2013? Gari ya 2013 Toyota hata kama vitz hauwezi pata kwa bei rahisi ya 21m.
Hapo umenena mzee!!! kitu ya last year kwa 21m upate wapi inchi hii
 
Mkuu kajipange kisha uje udanganye upya. 2013 for 21m only. Labda kama hiyo gari ina chasis ya bajaj.
 
:flame:Nouma sana hata kama hatujui magari lakin nimelistukia ilo silo ilo ni KANJANJA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom