Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,455
- 10,868
Nimekupata mkuu Masanja....napatikana hapa 0766111711
Mdogo wangu fanya business kisomi. Utafanikiwa. Yaani hapa ingebidi uwe umeshajaza thread kwa kusumbua watu wakutafute. Hebu bandika picha za mawe uliyonayo. Morogoro uko sehemu gani? Nikihitaji una uwezo WA kussuply what amount? Nitakutafuta.
waTanzania wengi hatujawa serious au aggressive in doing business.
Kuwa na Kiu ya mafanikio.
Change your approach utaniambia.