mawe craft
Member
- Mar 10, 2015
- 24
- 9
Habari zenu wandugu?
Ninazo tiles zitokanazo na mawe halisi ya Tanga stone (slate stone) yanapatikana kwa kiasi chochote na ninauza kwa squre meter.
Vile vile ninapokea oder kwa design (cutting style) yeyote mteja atakayo itaka, tunakusafirishia popote ulipo Tanzania