Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,126
- 127,045
Ninauza shamba maeneo ya horohoro, ni kolimita sita kabla hujafikana mpakani horohoro kwenda Mombasa. Shamba ni hekari 13, lina lambo kubwa la maji lenye kuweza kuhifadhi maji msimu mpaka msimu. Kuna nyumba ya matofali ya kuchoma yenye room 3 ambapo room 2 ni za kulala.
Kuna jiko na stoo ya nje. Kuna banda kubwa lenye vyumba vitatu ambapo kila chumba kinaweza kuweka kuku 200. Jumla banda zima unaweza kufuga kuku 600. Shamba lenyewe liko chini ya mita mia tatu toka barabara kubwa ya Tanga-mombasa.
Ukiwa shambani unaona magari yakiwa yanapita barabara kubwa. kwa ujumla linafikika kirahisi sana. Shamba ni safi wala halihitaji kusafisha ni kuingiza tu traktor kwa ajili ya kulima kwani nimeshalilima kwa kipindi cha miaka miwili sasa. Ninafuga kuku chotara wasiopungua 120. Kwa anayetaka anaweza kunipm kwa maelezo zaidi.