Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja

Discussion in 'Matangazo madogo' started by M-pesa, Sep 6, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
  Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, ni pm tufanye biashara.

  Nimeattach Pdf document ya Kigamboni new city ili ujuwe ni eneo gani litakaloathiriwa na mradi. Pia mnunuzi yuko huru kwenda kufanya search ya eneo Manispaa ya Temeke na wizarani ili kujiridhisha kabla ya kununua.

  View attachment Kigamboni New City B.pdf

  Kwa Maelezo ya Ziada Kuhusu Kigamboni Tafadhali Tembelea website ifuatayo kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi:
  http://www.ardhi.go.tz/kigamboni-new-city.html
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Eka moja ni shamba au plot ya kujenga nyumba ndogo ya kuishi?
   
 3. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  4000,000??????nimependa huu uandishi wa namba..
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wewe ndo utaamua kama liendelee kuwa shamba au ujenge nyumba ndogo ya kuishi.
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mbutu ni miongoni mwa maeneo ambayo yatachukuliwa na serikali kwa ajili ya kigamboni city project. Kabla hujanunua jihakikishie kuwa eneo hilo hutanyang'anywa.
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tsh 4000,000 ( Milioni nne cash) hakuna negotiations!
   
 7. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hilo liko wazi ambae anahitaji eneo yuko huru kwenda manispaa ya Temeke au Wizarani kuangalia usalama kabla hajanunua. Kuna ambae ananunua eneo bila kwenda manispaa kucheck?
  Lakini kwenye Red Umedanganya nitatoa website ya wizara muaangalie maeneo yanayoathiriwa na mradi wa kigamboni.
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Huyu muuzaji anayejiita M-pesa hayuko ethical. Kama kuna mtu anataka eneo ni bora akatafute kwa mtu mwingine. Hapa ananiandikia PM kibao za vitisho ili nisiseme ninayoyajua kuhusu mbutu. Alianzisha thread leo kaifuta baada ya kuona watu watajua ukweli. Sishauri kufanya biashara ya kiwanja hicho na M-pesa.
   
 9. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu nani anakutisha? Hivi ulimwengu huu nani ananunua kiwanja bila kufanya search? Mnunuzi yupo huru kwenda Manispaa ya Temeke hadi wizara ya ardhi ili kujiridhisha kabla ya kununua. Nina hakika asilimia mia moja unakurupuka kwa posts zako.
  Wewe ni Great thinker kweli? Thread ipi nimeifuta ndugu? Unaweza kuthibitisha?
  Mimi nafanya biashara kwa akili, na ndio maana utaona nimeweka thread tofautitofauti zenye content moja katika majukwaa yafuatayo: Biashara, Matangazo madogomadogo na Habari Mchanganyiko.
   
 10. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,956
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mkuu asante sana kwa kututonya. Nashangaa hata mimi nilimuuliza kuhusu documents na kama kiwanja/ shamba limepimwa. Hakujibu na wala maulizo yangu siyaoni, kumbe alifuta!
   
 11. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Huna haja ya kuniandikia PM kuhusu thread ambayo iko public. Hiyo ni dalili ya kukosa uaminifu na nitashangaa kuona mtu anainvest sh. Milioni nne katika biashara na wewe. Ninachokifanya ni kuhakikisha kuwa JF haitumiwi kwa utapeli. Kama unauza kitu weka thread na acha members watoe maoni yao, hupaswi kukataza members kusema wanayoyafahamu kuhusu product unayouza. Unaweza kutoa sababu ziliyokufanya ufute ili thread uliyoleta awali kuhusu hilo "shamba"?
   
 12. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hulazimishwi kununua, sipo desperate kwenye kuuza ardhi yangu. Najua nafanya biashara ambayo ni genuine! By the way ninatoa ekari moja kati ya tatu nilizonazo. Kwa hivyo ambaye atanunua, nitakuwa naye jirani! Hofu yako ndo umaskini wako!!!!
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mtakuwa mnajuana...
   
 14. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unajua sorry to say, but real I doubt kuhusu uwezo wako wa kufikiri! Hivi moderators wakiulizwa kuthibitisha kama kuna thread yeyote nimeifuta alafu wakisema si kweli utajisikiaje? Nahakika hakuna thread hata moja iliyofutwa, Invisible anaweza kuthibitisha hilo.
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Katavi umenichekesha kuliko siku zote... Hahahahahahahahahaha.... Mtu anaweza kudhani tunajuana, ila I have no idea who this dude is! Nimeshangaa jamaa yuko aggressive utadhani katongozewa mke. Mimi nina ardhi huko na nimeacha kuidevelop kwa sababu tushapewa taarifa na hata TBC walionyesha kikao chetu na mkuu wa wilaya ya Temeke kuhusu kunyan'ganywa maeneo yetu, tunajaribu kuresist lakini najua mpaka mwisho hatutafanikiwa kwa sababu tuko devided sana. Sasa jamaa anataka kujifanya gwiji la matapeli, ila kinachoniudhi zaidi ni kwamba anamiss use Jamiiforums.
   
 16. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu nikikuambia hata simfahamu...huwezi kuamini, yaani the guy is coming from nowhere na kuanza kunishushia tuhuma nzito nzito. Hivi Tanzania ya leo mtu anaweza kununua ardhi bila kufanya search kwanza?
   
 17. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Uko huru kuongea lolote bwana! Lakini Muongo hawezi kudanganya siku zote! Mara ulitaka kununua, Saivi umesahau unaanza kudai una ardhi huko. Kwali uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Nikishauza ardhi nitakuja nikupe report, Lengo lako wewe si ni ku- tarnish image yangu?
   
 18. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Ndugu M-Pesa kizui chajiuza na kibaya chajitembeza!

  Kwa jinsi ulivyoshika bango, wanunuzi watarajiwa tumeshtuka.
   
 19. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  M-pesa, najua utauza tu hiyo ardhi kwa sababu matapeli mna njia mbalimbali za kurubuni watu. Mfano mdogo ni jinsi tu ulivyoanzisha thread nyingine chapchap na kuleta mikwara koko kwa kupitia PM. Ninachotaka kuhakikisha ni kwamba hata kama unatapeli lakini sio kwa kutumia JF.
   
 20. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri, kama nilivyosema sipo desparate kwenye kuuza. Na mara nyingi waongeaji sana huwa sio wanunuzi.
   
Loading...